ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

Hii ndiyo ilikuwa mbinu ya Lema kabla haijapanguliwa na RC:
"...nakusanya waandishi wa habari, paroko, meya na yeyote ambaye hajui kupima mambo kwa kina. Tunapeleka rambirambi, baada ya hapo tunatoa speech kuwa michango ya kwanza imetafunwa na CCM hivyo tumeona bora hii tuiwakilishe wenyewe....na media zetu zilivyo kesho habari inatoka ikisema hivyo hivyo!
 
Lema amekamatwa jana?
 
Police mnaamriwa kukamata watu, na kusema mmetoa lift. Tanzania yetu wote lini mtatoa lift kwa watu wote
 
Reactions: SDG
Wewe Gambo rudisha rambirambi nyoko wewe mwanaharamu mkubwa
 
Nina amini CCM wangekabidhiwa zile Rambirambi wazipeleke kwenye ile Shule ili wakabidhiwe wazazi suala la Mkusanyiko usio halali lisingekuwepo .Tatizo lililopo ni CCM inatafuta kila njia ikubalike Arusha kitu ambacho ni kigumu Kwa vitendo vinavyofanywa Na viongozi wa Serikali Na CCM mkoa Arusha.Wazazi wamefiwa Na watoto wao wananchi wenye majonzi wameamua kujitoa kile kidogo walichonacho Leo CCM kupitia Mkuu wa mkoa inawakamata Na kuzuia .Kwani rambirambi ni lazima serikali au CCM izipokee?
 
Fanya utafiti kidogo kila wakati usiegemee upande mmoja kuwa huru, hapa sio kutetea upande mmoja tu kuwa mkweli.
 
Vyama vya upinzani nendeni vijijini anzieni huko
 

Wasipozipokea watazipigaje,wakati wao ni watu wa kula rambirambi??
 
CCM kila siku inazidi kujipaka ma.,to.,pe

wanahali mbaya hawa watu, nahis wanalaana. Mtu na akili zako unakula rambi rambi
 
Ni aibu na inasikitisha sana kwa serikali hii ya mwendo kasi kufanya vitu vya ajabu kiasi hiki.
 

Mkuu mijitu mingine utadhani siyo miafrika iko sababu tu imezaliwa.Mijitu inayopigia makofi maovu ni bora shetani kuliko hii mijitu.
 
Ndo utawala tulioutaka, kama una kumbukumbu hata dj alisema anamtaka Magufuli type!
Mnafiki siku zote anajulikana kwa matendo wewe ndo ulikuwa unajuta kumpiga kura Magufuli. Leo upo unamsifia unafiki kazini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…