Mndwyika.wetu
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 652
- 829
HIVI WAKIPELEKWA MAHAKAMANI LEO WATASHITAKIWA KWA KOSA GANI?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekusanyika bila kibali.HIVI WAKIPELEKWA MAHAKAMANI LEO WATASHITAKIWA KWA KOSA GANI?
Lema amekamatwa jana?Tatizo kubwa la arusha ni lema arusha hata ilipokuwa Na mkuu wa mkoa ambaye si mwongeaji mjifungia ofisini lema hakuisha vituko kutwa alikuwa akiitisha maandamano yasiyo na kichwa wala miguu Arusha mjini . Akikosa kisa ataanza kutukana raisi kuwa atakufa nk. Lema ana mapepo sio bure. Anahitaji watoa mapepo wamsaidie
Wewe Gambo rudisha rambirambi nyoko wewe mwanaharamu mkubwaKipindi ambacho watoto wetu wanahitaji wataalam wa tiba za saikolojia ili kuwapa nasaha baada ya kupoteza marafiki zao, wanasiasa wapumbavu wanatafuta umaarufu!
Wale watoto akili zao hazijakaa vizuri, ugeni wa watu ambao sio wale waliozoeleka hapo shuleni vinaamsha majonzi upya! Wanasiasa acheni uharamia na tamaa!
Nimetafuta tusi zito limekosa,........Mungu nipe moyo wa uvumilivu!
Acheni kutafuta sababu za kijinga kwani ulikuwa mkutano wa hadhara ule, kiliwakela nini?Hizo rambi rambi wangepeleka majumbani kwa wafiwa sio shuleni
Fanya utafiti kidogo kila wakati usiegemee upande mmoja kuwa huru, hapa sio kutetea upande mmoja tu kuwa mkweli.Hapa unaongelea nini zaidi kuwa pesa zimekuwaje, watu wamekosa mlo au vipi? Kwenye misiba mkitoa michango huwa mnatumia kuwapa waweke benki au inasaidia na mengine katika shughuli ya msiba? Pia kuhusu tetemeko hizo pesa unadai walikula kuna kitu hawakufanya kabisa au? Na wale waliobomoa nyumba zao zaidi makusudimbona hamuwasemi? Watu wangepewa na miundo mbinu au watoto wao kukosa shule wangejenga wao baadae? Na waliopewa misaada na serikali mbona pia hamuwaongelei? Je keanini mnaingiza kusema ubinadamu kama nyie mmechangia hata senti moja kwenye yote hayo?
Kuhusu siasa ndio hiyo ikeletwa na upinzani katika issue hii iliotugusa wananchi wote, hata senti zijaona kwamba walitoa jana ndio wanaitisha kikao cha nini kama sio kutaka kuvhochea..huyo Meya si alianza mapambanonjuzi kudai pesa au majibu wameoewa kaenda kufata njia ingine... mmeamviwa mil zaidi ya 50 zipo mbona hamshauri wafanyie nini mnatunga tu uongo juu ya serikali? Mnaumiza familia za watu kurumbana na kukuza mambo kwasababu hamuhusiki. Tuache serikali ifanye yao na wanajua mnafatilia so watatenda mema wote mfurahi...
Vyama vya upinzani nendeni vijijini anzieni hukoJamani lazima Juma Pawa Mataputapu ajue hii nchi sio ya kwake yeye amechaguliwa kuongoza tu na muda wake unakwisha haraka sana. Tunajua wateule wake wamemuandalia exit door mapema kwa hizi style zao za kishamba.
Shimeshime wananchi hawa watu lazima tuwatoe mapema na kuwakamata tuendelee kukusanya ushaidi kwa sanduku la kura tu.
Tuanze kuandika sera mapema na UKAWA ifanyiwe major reform viongozi wote wapishe watu wapya watatafutiwa kazi ushindi ukipatikana serikalini. Jeshi la polisi tunalifuta kabisa na kazi zao zitaamia JW, siro na wakuda wenzie wanastahili jela au kupigwa risasi.
Nina amini CCM wangekabidhiwa zile Rambirambi wazipeleke kwenye ile Shule ili wakabidhiwe wazazi suala la Mkusanyiko usio halali lisingekuwepo .Tatizo lililopo ni CCM inatafuta kila njia ikubalike Arusha kitu ambacho ni kigumu Kwa vitendo vinavyofanywa Na viongozi wa Serikali Na CCM mkoa Arusha.Wazazi wamefiwa Na watoto wao wananchi wenye majonzi wameamua kujitoa kile kidogo walichonacho Leo CCM kupitia Mkuu wa mkoa inawakamata Na kuzuia .Kwani rambirambi ni lazima serikali au CCM izipokee?
Naona wafia chama wameanzakamata tu..kazi uchochezi na kuleta mahungu.
Wewe kiazi mbatata kwani ni Meya ndo alikuwa anatoa rambirambi ?
Majizi tuu mmezoea vya ubwerere ...
Mtashindwa kesi na kuonekana ni kenge wa nchi kav tuu... Mkusanyiko husio halali wageni na wazazi shuleni....swaini !!
WW ukifiwa mtu anakuja kukupa pole uwanja wa fisi ??
Mnafiki siku zote anajulikana kwa matendo wewe ndo ulikuwa unajuta kumpiga kura Magufuli. Leo upo unamsifia unafiki kazini!Ndo utawala tulioutaka, kama una kumbukumbu hata dj alisema anamtaka Magufuli type!