Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
yeye ni mtumaji mkuu"You Gonna Leap What You Saw" by Late Luck dube.
Nionapo haya huku kiongozi mkuu wa nchi akiwa kimya kana kwamba anafurahi juu ya yote yanayotokea nakumbuka wimbo wa Hayati Luck Dube. YOU GONNA LEAP WHAT YOU SAW, na hakika watavuna wanachopanda. Ipo siku rambirambi zao tutazikusanya na kuenda kununulia chakula cha NGURUWE.
Vyama vya upinzani nendeni vijijini anzieni huko
LemaLema amekamatwa jana?
gwajima vipiii?Ngoja tusubirie
Kachoka kukamatwa aliorganise akamwachia msaidizi wake yeye akasepa. Sababu alijua kitakachotokea kambwagia msaidizi wake wa ofisi ya mbunge .Huyo meya hajitambui lema kamwingiza kamwachia soo. Huyo yuko huru wasiojielewa aliowatumia wako Ndani. Siku ingine watumie bongo zao wazishirikishe pia
gwajima vipiii?
au ameshapewa kitu maana simsikii kabsaaa kumshughulikia BASHITTESubiri jumapili
au ameshapewa kitu maana simsikii kabsaaa kumshughulikia BASHITTE
Well said mkuu, mambo na wenzake wanatafuta cheap political millage,wangewakamata na wafiwa ijulikane ,Kwanzaa nini wengine wamewaacha,kitendo cha kuwakamata meya na viongozi wa dini inaonyesha culclations zao zimefeli.Jamaa alikuwa anafuatilia ukweli wa mgawanyo wa rambiramb na kupeleka rambarambi nyingine moja kwa moja kwa wafiwa bila kupitia "middle man/mtu wa kati(RC/serikali).Maana kuna kipengere kilisema chakula na vinywaji vya wageni wa meza kuu ilikuwa milioni 4.3(?),wakati hakuna mtu wa meza kuu aliyekula hata kidali cha bata mzinga,watu walimaliza kuaga wakaingia kwenye magari kukwepa mvua.Sasa hiyo milioni 4 ya chakula na vinywaji ilikuwajekuwaje?
Wafiwa walipewa milioni moja,na baadae wakahaidiwa kupewa milioni 2 na ushee zilizobaki,sasa maswali ikawa,inakuwaje rambirambi zinakuja nusunusu wakati zilitolewa kwa pamoja?
Walisema Serikali itagharamia safari na mazishi ya watoto,walimu na madereva.Lakini kwenye mchanganuo wanaonyesha kuwa pesa za rwmbirambi zilitumika kulipa madereva na magari ya usafiri,wakati kina Chambili,Kampuni ya Leopards na wadau wengine walichangi kama msaada,sasa hizo zilipoteaje?
Kudhihirisha chuki ya Kisiasa,siku ya msiba Gambo alitangaza CHADEMA kama Chama kimetoa shilingi milioni 5,Lakini kwenye mchanganuo wa jedwali lake,hajaweka CHADEMA kama chama kilichochangia,zaidi kawaweka UWT-Taifa,CCM mkoa wa Arusha nk...Sasa haya mambo ndio yanajenga machuki yasiyo na maana.
Wanamtumia Nyalandu kupenyeza "userikali" kwa kuwapeleka watoto marekani,Lakini ukiangalia website ya hawa jamaa,utaona kuwa wao walitaka siku ileile watoto wapelekwe US kutibiwa,lakini urasimu wa serikali na Gambo kwa "kiburi" kuwa serikali itawatibu kiliwachelewesha,mpaka wakatumia nafasi ya Makamu wa Rais alipoenda Hospital Mount Meru,wakawasakizia wale wamama wenye watoto kumsihi Mama Samia watoto waende nje kutibiwa kwa msaada wa Wazungu.
Halafu wanajidai kusema "Uongozi unaoacha Alama"...Hizo ni alama gani?au za chuki na visasi?Buree kabisaa
ungewaonyesha majumbani kwao kima wewe?Hizo rambi rambi wangepeleka majumbani kwa wafiwa sio shuleni
meya si kama DS anachaguliwa na mkulu. uache uongo meya ni diwani na diwani amechaguliwa na wananchi kufikia udiwani badala ya hapo ndio anagombea umeya ila anatokana.na wananchi hakuna mfumo wa kutoka nje kama bungeni.
Wewe nikikutafsiri nashindwa kuvuta taswira ambayo inaweza kukufaa, akili umeamua kuitupilia mbali kabisa na unaanza kutumia utashi wa mnyama ambaye hajui huyu ni mama yake au mwanae yeye.
Muda ndio jibu!!!
Waombe kibali kwa nani na kwa sheria ipi?Mngeomba tu kibali jaman!
Idd Amin pamoja na mabaya yake yote lakin bado kuna baadhi ya Watu walimpenda,kwa hiyo na Gambo pamoja na kula rambi rambi za wafiwa bado kuna Watu wanaona yupo sahihi,kwa hiyo kila Shetani na Mbuyu wake,ila mim nauona ni upuuz kutetea upuuz na ni ujinga kujitoa akili kwenye ukwel