Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli nimeamini sikio la kufa halisikii dawa yaani ccm inajifia hivihivi!Meya wa jiji la Arusha muda huu amekamatwa na polisi akiwa katika shule ya Lucky Vincent! Sababu haswa hazijulikani.
Meya wa Arusha,viongozi wa dini na waandishi wa habari wamekamatwa na polisi muda huu eneo la shule ya Lucky Vincent,walikoenda kutoa rambirambi!
=====
Wamiliki wa Shule Binafsi walioenda kutoa rambirambi katika Shule ya Msingi ya Lucky Vincent wakiwa na waandishi wa habari wamewekwa chini ya ulinzi na polisi shuleni.
Mwandishi wetu ambaye yuko eneo la tukio hivi sasa ameeleza kuwa Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya Arusha ambaye hajamtaja jina amewaambia kuwa wako chini ya ulinzi kwa kosa la kufanya mkusanyiko kinyume cha sheria.
Mwandishi wetu ameeleza kuwa katika msafara huo pia yupo Meya wa Jiji la Arusha, Kalist Lazaro, viongozi wa dini, wazazi waliofiwa na waandishi kama 10.
Chanzo: Mwananchi
Rudisheni rambirambikamata tu..kazi uchochezi na kuleta mahungu.
Ndio kazi wanayoiweza wateule wa bwana yule!
Anachokifanya ni kuzidi kujiaibisha na kuiongezea wanao ichukia ccm hivyo kufutika kabisaNaona kuna ukweli kwamba Mrisho Gambo kapiga pesa za rambirambi. Sasa ameamua kujilinda dhidi ya wanaotaka kumuumbua kwa kuanza kuwakamata na kuwasweka lupango. Hii ni AIBU kwa dola.
Rudisheni rambirambi za wafiwaWell done huo ndio mshahara wake
anachongasana
mkuu ya kweli hayo ya mulongo?nafikiri alikuwa anafatilia ukweli wa rambirambi,hakuna rc wa arusha alikuwa mbabe kama mulongo magesa,leo hii anaenda kwa shubash patel kuomba ajira....gambo you are exception and your downfall will be quick and heavy
Mkiwa mnafurahia hivi na matukio kama ya kibiti msilielie!Acha anyooshwe maana wakiambiwa kwa maneno hawasikii
Tanzania bila ccm yawadia kwa kasi ya ajabuAcha anyooshwe maana wakiambiwa kwa maneno hawasikii