Tony antony
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 4,988
- 3,268
well this is weird for sure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eleza vizuri lazima kuna sababu sio kuleta mambo nusunusu.Mstahiki Mayor wa Jiji , Paroko , Mchungaji , Waandishi wa habari 7 , wamekamatwa leo na Jeshi la Polisi wakiwa Shuleni Lucky Vicent ambako Mayor alialikwa na Umoja wa Shule binafsi Tanzania , waliopenda kutoa rambi rambi moja kwa moja kwa wafiwa badala ya kupitia ofisi ya Mkuu wa Mkoa .
Wazazi waliokuwa hapo wamepatwa na taharuki kubwa baada ya kuona viongozi hao wanachukuliwa bila sababu yoyote ya msingi , mpaka sasa wako Polisi wanaambiwa walikuwa na mikusanyiko isiyo halali .
Nafikiri tunachoka sana . Mungu mpaka lini mambo haya ?
=====
Wamiliki wa Shule Binafsi walioenda kutoa rambirambi katika Shule ya Msingi ya Lucky Vincent wakiwa na waandishi wa habari wamewekwa chini ya ulinzi na polisi shuleni.
Mwandishi wetu ambaye yuko eneo la tukio hivi sasa ameeleza kuwa Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya Arusha ambaye hajamtaja jina amewaambia kuwa wako chini ya ulinzi kwa kosa la kufanya mkusanyiko kinyume cha sheria.
Mwandishi wetu ameeleza kuwa katika msafara huo pia yupo Meya wa Jiji la Arusha, Kalist Lazaro, viongozi wa dini, wazazi waliofiwa na waandishi kama 10.
Chanzo: Mwananchi
Waandishi wa habari jijini Arusha wamekamatwa na Polisi muda huu wakiwa shule ya Lucky Vincent, waandishi hao walikuwa na Meya pamoja na viongozi mbalimbali wa dini shuleni hapo.Waandishi hao wamepelekwa kituo cha polisi.
Habari zaidi zitafuata
Hadi sasa haijajulikana chanzo cha kukamatwa kwao kwani walikuwa kwenye majukumu yao ya kazi pamoja na Meya wa jiji na viongozi wa dini.
Huna cheti wewe nini? Meya ni diwani na diwani anachaguliwa na wananchi
Rudisheni rambirambi za wafiwa wacha kujitoa akiliWacha wakamatwe wanataka kufanya siasa msibani
Hapa kuiba rambirambi tu sio eehKama ndo waandishi hawa hawa wachochezi inatakiwa wapigwe na viboko kabisa...alafu walale central wiki mbili wakila pumba na maji...hakuna kulemba hapa kazi tuuuuuuuuuuuuuuuuu
Hana tofautigambo inabidi afanywe ka bashite
Hayo ni maombi yako.....ili upate kiki ya mtaani....Hapa kuiba rambirambi tu sio eeh
kwaio mnaomba jwa udi na uvumba ajali nyingine itokee ili muendele kufaidi rambirambi
unacheka niniHaaaaa haaaaa
Siasa za ccm ni za kishamba sana ! Hivi wanadhani watatumia polisi hadi lini ? Ni bora Kinana alivyoamua kujiuzuru tu kuepuka aibu .Mstahiki Mayor wa Jiji , Paroko , Mchungaji , Waandishi wa habari 7 , wamekamatwa leo na Jeshi la Polisi wakiwa Shuleni Lucky Vicent ambako Mayor alialikwa na Umoja wa Shule binafsi Tanzania , waliopenda kutoa rambi rambi moja kwa moja kwa wafiwa badala ya kupitia ofisi ya Mkuu wa Mkoa .
Wazazi waliokuwa hapo wamepatwa na taharuki kubwa baada ya kuona viongozi hao wanachukuliwa bila sababu yoyote ya msingi , mpaka sasa wako Polisi wanaambiwa walikuwa na mikusanyiko isiyo halali .
Nafikiri tunachoka sana . Mungu mpaka lini mambo haya ?
=====
Wamiliki wa Shule Binafsi walioenda kutoa rambirambi katika Shule ya Msingi ya Lucky Vincent wakiwa na waandishi wa habari wamewekwa chini ya ulinzi na polisi shuleni.
Mwandishi wetu ambaye yuko eneo la tukio hivi sasa ameeleza kuwa Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya Arusha ambaye hajamtaja jina amewaambia kuwa wako chini ya ulinzi kwa kosa la kufanya mkusanyiko kinyume cha sheria.
Mwandishi wetu ameeleza kuwa katika msafara huo pia yupo Meya wa Jiji la Arusha, Kalist Lazaro, viongozi wa dini, wazazi waliofiwa na waandishi kama 10.
Chanzo: Mwananchi
Halafu kwa nini umemweka JK? Baba mstaarabu yule mbali ya madhaifu ya kibinadamu hajawahi kula rambirambi miaka yote 10 Magogoni. Weka picha ya huyu mla rambirambi mwenzio.Wacha wakamatwe wanataka kufanya siasa msibani
Hivi ulidhani tuhuma hizo ni za kughushi ? Mkuu lengo la ccm kwenye nchi hii ni kuhakikisha watanzania mnabaki mifupa mitupu , hawajawahi kuwa na huruma .Naona kuna ukweli kwamba Mrisho Gambo kapiga pesa za rambirambi. Sasa ameamua kujilinda dhidi ya wanaotaka kumuumbua kwa kuanza kuwakamata na kuwasweka lupango. Hii ni AIBU kwa dola.