Arusha: Mfanyakazi wa Benki ya DTB ajiua kwa kujinyonga


Mke might be involved, Na Mara nyingi atakuwa kadanganywa Na mwanaume mwingine baada uchepukaji
 
Haya maelezo hayaendani na tukio halisi! Mtu ajinyonge na kuacha ujumbe bila sababu. Kuna namna hapo
 
Mimi sijasomea intelijensia lakini maelezo hayo yanaacha maswali mengi sana.
 
niliwahi kufanya kazi taasisi moja ya afya iliyoko chini ya wahindi..basi receptionist mmoja alikuwa anagongwa na meneja mhindi alikuwa ananizingua balaa ili niache kazi yeye amlete ndugu yake...nikaamua asubuhi kabla sijaingia kazini navuta bangi jicho linakuwa jekunduu...wale maboya walikuwa wakiniona wananikwepa ...nilipotimiza malengo yangu nikasepa.
 
Alifafanua kuwa siku moja kabla ya tukio hilo mumewe alikuwa akilalamika kuumwa na tumbo na alienda kutibiwa hospitali na kugundulika kusumbuliwa na Amueba ,Jambo ambalo mkewe alikanusha kuwa chanzo Cha mumewe kujinyonga
Anambishia nani sasa!?
 
Sijui kwanini watu wengi wanaamua kunywa pombe wakiamini ndio njia ya kuondoa stress/depression

''Njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha''.

MATH 11:28-30
Tuelekeze tuje kwako ni wapi vile,mizigo imezidi
 
Chumba cha mpangaji mwenziye? Huyo mpangaji ni jinsia gani? Na ameingiaje humo bila huyo mpangaji kumruhusu? Chumba kilikua wazi na mpangaji huyo hakuwepo?
Hii habari haijajitosheleza hata kidogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…