Arusha: Mke ampa kipigo mumewe hadi kumuua

Mwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Bandambili kata ya Sombetini jijini Arusha anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kumpiga mume wake hadi kuua.

Mwanaume huyo ajulikanae kwa jina la Daudi ambae ni fundi ujenzi alifariki dunia usiku baada ya kupewa kipigo usiku mzima na mkewe huyo wa ndoa aliezaa nae watoto kadhaa.

Majirani wamesema ni kweli mwanaume huyo hupigwa mara kwa mara na mkewe pamoja na kusachiwa hela mfukoni mkewe kwa kushirikiana na watoto.

Soma Pia: Arusha: Auwawa kwa kupigwa na kitu kizito baada ya kuingilia ugomvi wa mtu na mpenzi wake

Wazazi wa marehemu Daudi wamesema kuwa ni kwa muda mrefu kijana wake amekuwa akipigwa na huyo mwanamke na kurudi nyumbani anauguzwa akipona anarudi tena kwa mwanamke huyo na hata wao wazazi wakienda polisi kijana wao anaenda polisi na kusema kuwa amemsamehe mkewe.

Wazazi wa daudi wanasema hali hiyo imekuwa ikijirudia mara nyingi kupigwa na kujeruhiwa na mkewe hadi mauti yalipomkuta.
Yaani nimesikia mpaka matumbo yananicheza, wanaume wanavyopigika meaning na maisha, harafu urudi nyumbani upewe kipigo na mkeo!hayo ni maumivu square!
Kama kuna mtu ameishawahi kuona bodaboda wa kike usiku mzito saa 7 saa 9 usiku akiwa amelala juu ya boda!
Vipi kuwahi kusikia wachimbaji wadogo wamefukiwa na mgodi,wanawake ni wangapi!?
Yaani ningekuwa ni polisi hapo Arusha, huyu Dada angenikoma huko romance, ningehakikisha natindua malinda mpaka avae nepi maisha yake yote,
It's so painful
 
Mafundi ujenzi wengi wa Chugastani wanakunywa saba pombe na ndio maana ilikua rahisi kwa huyu mwanamke kufanya atakalo ukimpiga mtu akiwa amelewa ni kujitafutia tatizo lingine..
 
Na hao watoto waliokuwa wanashirikiana na mama yao kumpiga baba yao na kumsachi siamini kama ni watoto wa jamaa.
Nawashauri hata wazazi wa marehemu wawakatae kabisa hao mashetani.
Nam nihis syo wake ndoma mana taarifa inasema kazaa nae. Watoto kazaa haitaji idad
 
RIP mwamba!najua uwezo wa kumpiga na kummumiza mke wako ulikua nao!lakini utayari wa kupigana na mwanamke sio kila mwanamme anao!

Mara nyingi tunaepusha shari na kuondoka nyumbani au kwenda Kwa michepuko kupoza hasira coz ukimuua mwanamke nani atalea watoto!!?na sisi me kipawa Cha kulea watoto hatuna!!

RIP CHIEF
Ndio kila mara we anapigwa na avumilie tyuh? Huu ni uongo kubalini jamaa hakua na nguvu kumzidi mkewe, ndo maana akawa anabondwa.
 
Haya mawazo ya maskini😹
Mwenye tako hapigwi bwana....huyo ni kumtomberrr na kumka ya kwa maneno.
Bby qashy usirudie tena tabia hii ya kuchukua atm card yangu pasipo kunipa taarifa sawa mammy.
Haya ebu leta wallet yangu hapo kuna laki....asante kwa hizi bao tatu tamuuuu
 
Mwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Bandambili kata ya Sombetini jijini Arusha anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kumpiga mume wake hadi kuua.

Mwanaume huyo ajulikanae kwa jina la Daudi ambae ni fundi ujenzi alifariki dunia usiku baada ya kupewa kipigo usiku mzima na mkewe huyo wa ndoa aliezaa nae watoto kadhaa.

Majirani wamesema ni kweli mwanaume huyo hupigwa mara kwa mara na mkewe pamoja na kusachiwa hela mfukoni mkewe kwa kushirikiana na watoto.

Soma Pia: Arusha: Auwawa kwa kupigwa na kitu kizito baada ya kuingilia ugomvi wa mtu na mpenzi wake

Wazazi wa marehemu Daudi wamesema kuwa ni kwa muda mrefu kijana wake amekuwa akipigwa na huyo mwanamke na kurudi nyumbani anauguzwa akipona anarudi tena kwa mwanamke huyo na hata wao wazazi wakienda polisi kijana wao anaenda polisi na kusema kuwa amemsamehe mkewe.

Wazazi wa daudi wanasema hali hiyo imekuwa ikijirudia mara nyingi kupigwa na kujeruhiwa na mkewe hadi mauti yalipomkuta.
Habari zingine kama "comedy"
Unasoma huku unacheka
 
Pole kwa familia ya marehemu. Ila hii kitu wanaume wengi wananyamaza sababu jamii iko upande wa mwanamke siku zote
 
Sio mkewe tu aliyekuwa anampiga.Walimpiga,pamoja na watoto wake wa kiume.Mmoja anasoma chuo Singida na mwingine sekondari.Sio tukio la siku moja alikuwa anachezea kichapo mara nyingi tu. Hapo ya kabla ya kifo chake alikuwa anaendelea na matibabu kwa vipigo vilivyopita.
 
Back
Top Bottom