Naam.Kwa sababu kamtaja Mungu kwenye ujumbe alioacha?
Kwa nini kwenye ujumbe bado amesema Mungu amsaidie mmaa yake apate ada (kwa ajili yake)? Inawezekana dogo labda alidhani ni maigizo fulaniNaam.
Kwa kwenda na maneno tuliyonayo tu.
Mtoto anaamini haya maisha si final, kuna maisha baada ya kifo, kwa imani ya Mungu. Na imani hiyo imemfanya ajiue kirahisi zaidi.
Wanatafuta huruma? Kumuua huyo dogo kutawasaidiaje?Uchunguzi ni muhimu sana kwenye hili, Pengine wanatafuta Huruma wakammalizia mtoto!
Wanatafuta huruma? Kumuua huyo dogo kutawasaidiaje?
Shetani anasingiziwa tu pale tunaposhindwa kujielekeza vizuri wenyewe.shetani kumanyoko
Na wana balaa wale😂Kausha Damu hizo
Ok. Ngoja nitafakari zaidi.Think we'll utaelewa
Napata hisia za faulo.Daah! Ameandika kama mtu mzima.
Pole kwa familia.
Jana nilifika hapo nyumbani kwa huyu mtoto, niliumia sana. Waliweka picha hii na nyingine.Mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 11, darasa la sita anayefahamika kwa jina la Lightness Mkiindi, mkazi wa Mtaa wa Namayana, Kata ya Ilboru, wilayani Arumeru mkoani Arusha, amefariki dunia akidaiwa kujinyonga
Kwa mujibu wa maelezo ya mama mzazi na bibi wa marehemu, siku ya tukio Januari 29, mtoto huyo hakuenda shule kutokana na kuwepo kwa msiba wa jirani uliokuwa karibu na makazi yao, ambapo familia ilikuwa ikishiriki shughuli za maombolezo. Kabla ya tukio hilo, inaelezwa mtoto alikuwa nyumbani akicheza na wenzake.
Familia imesema walipokea taarifa ya dharura wakati wakiwa msibani, iliyomtaka mama wa mtoto kurejea nyumbani haraka. Alipofika, alikuta mtoto huyo tayari amefariki katika mazingira yanayoashiria alijinyonga kwa kutumia kanga ya kuogea.
"E baba Mungu ninaomba kwa niaba ya familia yangu na jamii nzima pamoja na majirani, Mungu naomba umpe bibi yangu hela pamoja na mama yangu pamoja na baba yangu, bibi yangu apate hela ya marejesho na baba na mama wapate hela ya ada ya shule. Mungu atusaidie, Milele Amina amefanya maajabu jina lake liimidiwe" ameandika mtoto ambaye anadaiwa kujinyonga bafuni.
Chanzo cha tukio hilo bado hakijabainika mara moja, huku tukio hilo likiacha majonzi makubwa kwa familia, ndugu na wakazi wa eneo hilo.
View attachment 3537053
Si bado mnaishi kama miaka ya 90 wakati now ni 2026.Duuh miaka 11 anapata vp mawazo ya kujinyonga?
Daaaahhh! Poleni sana mkuu. Vipi familia wanasema shida ilikua ni nini kwa dogo?Jana nilifika hapo nyumbani kwa huyu mtoto, niliumia sana. Waliweka picha hii na nyingine.
Wanadai dogo hakuwa na shida kabisa. Niliongea na dada mmoja ambaye ni mama mdogo wake ambaye ndiye alikuwa na hao watoto home, alituhadithia ishu nzima, kwa kweli dogo hakuwa na shida wala dalili yoyote mbaya mpaka ile dakika ya mwisho alipoingia bafuni.Daaaahhh! Poleni sana mkuu. Vipi familia wanasema shida ilikua ni nini kwa dogo?
Huyo Mungu anayeshukuriwa kwa watoto kujinyonga ni Fala kabisa.Tunamshukuru Mungu kwa yote, pia tunamuomba radhi kwa pale tuliposhindwa kufanya wajibu wetu hadi mtoto huyo kumfikia hali hio!
Mwenyezi Mungu ampokee katika ufalme wake , ila nasi tujifunze kutoshirikisha watoto wetu changamoto tunazo pitia huwa ni athari kubwa sana kisaikolojia.
Ajaliwe pumziko lenye Amani na furaha.