Arusha: Mtoto ajinyonga na kuacha barua yenye ujumbe huu, 'Mungu mpe bibi hela ya marejesho'

Uchunguzi ni muhimu sana kwenye hili, Pengine wanatafuta Huruma wakammalizia mtoto!
 
Naam.

Kwa kwenda na maneno tuliyonayo tu.

Mtoto anaamini haya maisha si final, kuna maisha baada ya kifo, kwa imani ya Mungu. Na imani hiyo imemfanya ajiue kirahisi zaidi.
Kwa nini kwenye ujumbe bado amesema Mungu amsaidie mmaa yake apate ada (kwa ajili yake)? Inawezekana dogo labda alidhani ni maigizo fulani
 
Tunamshukuru Mungu kwa yote, pia tunamuomba radhi kwa pale tuliposhindwa kufanya wajibu wetu hadi mtoto huyo kumfikia hali hio!

Mwenyezi Mungu ampokee katika ufalme wake , ila nasi tujifunze kutoshirikisha watoto wetu changamoto tunazo pitia huwa ni athari kubwa sana kisaikolojia.

Ajaliwe pumziko lenye Amani na furaha.
 
Furaha ya milele umpe ee BWANA na mwanga wa milele umwangazie astrehe kwa aman sana AMINA
 
Jana nilifika hapo nyumbani kwa huyu mtoto, niliumia sana. Waliweka picha hii na nyingine.
 
Daaaahhh! Poleni sana mkuu. Vipi familia wanasema shida ilikua ni nini kwa dogo?
Wanadai dogo hakuwa na shida kabisa. Niliongea na dada mmoja ambaye ni mama mdogo wake ambaye ndiye alikuwa na hao watoto home, alituhadithia ishu nzima, kwa kweli dogo hakuwa na shida wala dalili yoyote mbaya mpaka ile dakika ya mwisho alipoingia bafuni.
 
Huyo Mungu anayeshukuriwa kwa watoto kujinyonga ni Fala kabisa.

Huyo Mungu alishindwaje kuzuia mtoto huyu asijinyonge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…