Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hoja yako nzuri lakini kwa huyu hata ungelipa debe la dhahabu bado angefanya. Tunaambiwa amefanya kwa Imani za kishirikina.Lipeni mishahara mabinti wa kazi, acheni kuwapa kazi nyingi na matusi juu.
Msipobadilika mtapata tabu sana.
Mpende binti wa kazi kama mwanao!
Kwasababu bado ni mtuhumiwaKwa hiyo jina la mshukiwa wanalihifandhi Ila la mtoto marehemu ndio wameona walitoe hadharani sio???? Jina wanahifadhi sababu gani?
😅😄😄Nini hii!RIJINA RA RITUHUMIWA NI SIRI ZA GESH RA PORISH KWAAJIRI YA UPEREREZI
Inaonekana bado unakaa kwa wazazi wako that's why unaongea mavi mavi kua ujionee mwenyeweLipeni mishahara mabinti wa kazi, acheni kuwapa kazi nyingi na matusi juu.
Msipobadilika mtapata tabu sana.
Mpende binti wa kazi kama mwanao!
Hongera kwa matusi mazuri. Umemaliza au unayo mengine great thinker?Inaonekana bado unakaa kwa wazazi wako that's why unaongea mavi mavi kua ujionee mwenyewe
Ulishawahi kuishi na mschana wa kazi??Lipeni mishahara mabinti wa kazi, acheni kuwapa kazi nyingi na matusi juu.
Msipobadilika mtapata tabu sana.
Mpende binti wa kazi kama mwanao!
Dogo Jikite kwenye mada wewe Acha porojo jamviniUser name yako ya mwisho inasadifu yaliyomo.
Tena ninaishi nao kama wadogo zangu. Hao mabinti ni kuishi nao kwa akili. Hizo kazi wanafanya sio kwa kupenda ni umaskini tu hivyo wanahitaji upendo sana. Kuna mmoja aliweka mtoto wa bosi kwenye OVEN akawasha akasepa, mwingine kwenye friji/freezer.Ulishawahi kuishi na mschana wa kazi??