Arusha: Mtoto wa miezi 9 alawitiwa na Baba yake mzazi hadi kufariki dunia

Akinamama hapo wamekosa nini wakati muuaji ni mzazi wa marehemu?

Dhamira ovu ya mzazi ambaye ndiye guardian wa mtoto ni nigumu sana kujua anachokiwaza kichwani mwake ama kumtilia mashaka.
 
Kwa mali gani mnazomiliki wanaume wa kibongo?? Hiyo miboksa iliyotoboka au? 😹😹 Hii kauli yenu ya mali inanichekeshaga sana 🤣
Baba mwenyewe alikuwa dereva wa daladala tena Hiace na gari yenyewe sio yake.
 
Ila akili za wadudu wanazijua wao...

Zamani matukio ya ajabu ajabu ilikua mbeya na kanda ya ziwa huko, sasa hivi Njombe na Chuga aloo zina kasi sawa.

Hawa watu wanakula bangi gani sijui
 
Ulawiti ni kosa no matter ni mtoto wako, wa jirani, mtu mzima au mwanamke.
 
Wanaume mmezidi, nyie mpk wanaume wenzenu mnawapanda hamuogopi..!!
 
Your last statement unamanisha kwamba kina baba wasiaminiwe kubaki na watoto?
 
Hii inachukua gold medal katika uhalifu uliotokea toka tupate uhuru 1961.
Naanza kuamini wanavyosema kwamba itatokea earthquate hapo kwenye Rift Valley ambayo watu wataisimulia siku nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…