Arusha: Mwanamke auawa na mwanamke mwenzanke kwa kipigo

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
9,140
Reaction score
15,963
Tukio hilo limetokea katika kijiji cha Ambureni kata ya Ambureni wilayani Arumeru baada ya Mwanamke mmoja ajulikanae Kwa jina la Manka kumshambulia kwa kipigo mwanamke ajulikanae Kwa jina la Rogata Nkya ambae Kwa sasa ni marehemu kisa kuokota kuni shambani kwake Mtuhumiwa.

Mdogo wa marehemu ajulikanae Kwa jina la Monica Nkya ameeleza jinsi hilo tukio lilivotokea kuwa marehemu dadake alienda bombani kuteka maji na kukutana na mtuhumiwa ambae ni Manka na kuanza kumtuhumu marehemu kuingia shambani kwake kuokota kuni ndipo ugomvi mkubwa uliibuka kati yao na kuanza kumpiga marehemu kwa kutumia mawe na fimbo za mgongoni ,kichwani na tumboni.

Rogata alirudi nyumbani na baadae alifariki dunia.

Baba wa marehemu Mzee Nkya amesema Tabia ya Manka mtaani ni ya ugomvi ugomvi kila mara na ameomba Serikali kusimama kwenye haki.
 
Tukio hilo limetokea katika kijiji cha Ambureni kata ya Ambureni wilayani Arumeru baada ya Mwanamke mmoja ajulikanae Kwa jina la Manka kumshambulia kwa kipigo mwanamke ajulikanae Kwa jina la Rogata Nkya ambae Kwa sasa ni marehemu kisasa kuokota kuni shambani kwake Mtuhumiwa

Mdogo wa marehemu ajulikanae Kwa jina la Monica Nkya ameeleza jinsi hilo tukio lilivotokea kuwa marehemu dadake alienda bombani kuteka maji na kukutana na mtuhumiwa ambae ni Manka na kuanza kumtuhumu marehemu kuingia shambani kwake kuokota kuni ndipo ugomvi mkubwa uliibuka kati yao na kuanza kumpiga marehemu kwa kutumia mawe na fimbo za mgongoni ,kichwani na tumboni.

Marehemu alirudi nyumbani na baadae alifariki dunia.

Baba wa marehemu Mzee Nkya amesema Tabia ya Manka mtaani ni ya ugomvi ugomvi kila mara na ameomba Serikali kusimama kwenye haki
Hasira ni hasara tu ...

Manka umejiharibia maisha Sasa....
 
Tukio hilo limetokea katika kijiji cha Ambureni kata ya Ambureni wilayani Arumeru baada ya Mwanamke mmoja ajulikanae Kwa jina la Manka kumshambulia kwa kipigo mwanamke ajulikanae Kwa jina la Rogata Nkya ambae Kwa sasa ni marehemu kisasa kuokota kuni shambani kwake Mtuhumiwa.

Mdogo wa marehemu ajulikanae Kwa jina la Monica Nkya ameeleza jinsi hilo tukio lilivotokea kuwa marehemu dadake alienda bombani kuteka maji na kukutana na mtuhumiwa ambae ni Manka na kuanza kumtuhumu marehemu kuingia shambani kwake kuokota kuni ndipo ugomvi mkubwa uliibuka kati yao na kuanza kumpiga marehemu kwa kutumia mawe na fimbo za mgongoni ,kichwani na tumboni.

Marehemu alirudi nyumbani na baadae alifariki dunia.

Baba wa marehemu Mzee Nkya amesema Tabia ya Manka mtaani ni ya ugomvi ugomvi kila mara na ameomba Serikali kusimama kwenye haki.
Kutana na Manka asiye na Hela ana kisirani balaa
 
Wote wa Machame,ngoma droo!
 
umasikini mbaya sana yaani unaua mtu kisa kuni
 
Back
Top Bottom