Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mdude ni Kamanda analindwa na Mungu.Sio kipigo cha kifo , Mdude kala kipigo heavy ila mzika mpaka leo
Damu ya Mtumishi wa Bwana inalindwa na Yesu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdude ni Kamanda analindwa na Mungu.Sio kipigo cha kifo , Mdude kala kipigo heavy ila mzika mpaka leo
mumgu atusaidie sana watanzania, lakini yote haya ni ugumu wa maisha misongo ya mawazo etc etcUkute sasa anaimba eti ccm imemlea imeleta maendeleo😅😅
Kwa sasa watu wengi ni kama wagonjwa tu. Simpigi mtu hata konzi.Ugomvi au kupiga mtu sio poa kabisa
Nauli yenyewe unayo? Acha mikwara mbuzi wewee.manka ungeua dada yangu leoleo ningepanda ndege nije kukunyoa mavuzi ningeichapa kwanza mbele nyuma kabla ya kukunyonga
Ndio ugumu wa maishamumgu atusaidie sana watanzania, lakini yote haya ni ugumu wa maisha misongo ya mawazo etc etc
hahah bosi wangu upo bwana ungeniazuma tukamshughulikie jambazi MankaNauli yenyewe unayo? Acha mikwara mbuzi wewee.
Mambo ya kupigana tuwaachie hayawani.Kwa sasa watu wengi ni kama wagonjwa tu. Simpigi mtu hata konzi.
Si umeambiwa kuni za shambani?Weka sawa ndugu mleta uzi ni kuni ipi inayozungumziwa
Elewa neno shambaSi umeambiwa kuni za shambani?
Madhara ya kuacha dini tegemea mengi zaidi ya hayo.Ni wakati sasa jamii yetu ilichukulie kwa uzito unaostahili hili tatizo la afya ya akili.
Nan kakuambia hao wameacha dini?Madhara ya kuacha dini tegemea mengi zaidi ya hayo.
Dini inashape jamii
Matukio kama hayo ni kielelezoNan kakuambia hao wameacha dini?
Hawa ni waumini wazuri wa dini watu tusio na dini hatuna hizo mishe .Matukio kama hayo ni kielelezo