Arusha: Mwanamke auawa na mwanamke mwenzanke kwa kipigo

Tukio hilo limetokea katika kijiji cha Ambureni kata ya Ambureni wilayani Arumeru baada ya Mwanamke mmoja ajulikanae Kwa jina la Manka kumshambulia kwa kipigo mwanamke ajulikanae Kwa jina la Rogata Nkya ambae Kwa sasa ni marehemu kisa kuokota kuni shambani kwake Mtuhumiwa.

Mdogo wa marehemu ajulikanae Kwa jina la Monica Nkya ameeleza jinsi hilo tukio lilivotokea kuwa marehemu dadake alienda bombani kuteka maji na kukutana na mtuhumiwa ambae ni Manka na kuanza kumtuhumu marehemu kuingia shambani kwake kuokota kuni ndipo ugomvi mkubwa uliibuka kati yao na kuanza kumpiga marehemu kwa kutumia mawe na fimbo za mgongoni ,kichwani na tumboni.

Rogata alirudi nyumbani na baadae alifariki dunia.

Baba wa marehemu Mzee Nkya amesema Tabia ya Manka mtaani ni ya ugomvi ugomvi kila mara na ameomba Serikali kusimama kwenye haki.
Wanawake wote walioko Arusha wanatakiwa wakaishi Musoma halafu wanawake walioko Musona wahamie Arusha; wanawake wa Arusha ni makatili na hawaendani na Arusha halafu wanawake wa Musoma ni wapole hawaendani na Musoma
 
Tukio hilo limetokea katika kijiji cha Ambureni kata ya Ambureni wilayani Arumeru baada ya Mwanamke mmoja ajulikanae Kwa jina la Manka kumshambulia kwa kipigo mwanamke ajulikanae Kwa jina la Rogata Nkya ambae Kwa sasa ni marehemu kisa kuokota kuni shambani kwake Mtuhumiwa.

Mdogo wa marehemu ajulikanae Kwa jina la Monica Nkya ameeleza jinsi hilo tukio lilivotokea kuwa marehemu dadake alienda bombani kuteka maji na kukutana na mtuhumiwa ambae ni Manka na kuanza kumtuhumu marehemu kuingia shambani kwake kuokota kuni ndipo ugomvi mkubwa uliibuka kati yao na kuanza kumpiga marehemu kwa kutumia mawe na fimbo za mgongoni ,kichwani na tumboni.

Rogata alirudi nyumbani na baadae alifariki dunia.

Baba wa marehemu Mzee Nkya amesema Tabia ya Manka mtaani ni ya ugomvi ugomvi kila mara na ameomba Serikali kusimama kwenye haki.
Chai
 
Back
Top Bottom