Kollebundle
Senior Member
- Nov 9, 2022
- 176
- 109
✓Rejea kichwa Cha habari Apo juu Ni ukweli usio pingika imebainika wazi wazi tokea kitambo ( Uhuru) mpaka Hivi Sasa, Mapato mengi Sana yanayo tokana na sekta ya UTALIII yamekuwa yanatolewa upande wa kaskazini mwa TANZANIA yaani kutoka mkoa wa (KILIMANJARO), na (JIJI LA ARUSHA), Kwani sehemu hizi mbili ndizo zinapokea Zaidi ya %80 ya watalii wote wa kigeni wanaoingia nchini na kisha serikali kuyatumia Mapato hayo kwenda kulijenga jiji la DARESALAAM ,kwa miradi mbali mbali ya maendeleo ikiwemo~ Barabara za lami
~ Fly over
~ Madaraja
~ Stendi za magari(daladala pamoja na za mabasi makubwa)
~ Masoko ya kibiashara
~ Vivuko
N.k,Na miradi mingine mingi mikubwa ya kimaendeleo
Sisemi kuwa ni vibaya serikali kuchukua mapato ya Arusha na Moshi na kwenda kuijenga dar City Ila kinacho leta ukakasi Ni kwamba kwanini serikali inaijenga Dar pekee ake halafu inaziacha Arusha na Moshi pakiwa pakavu kama jangwa bila kuwepo miradi yoyote ya maendeleo miaka nenda Rudi tangu tupate Uhuru mpaka Sasa wakati resoures zinatoka kwenye ardhi yao huu si ubaguzi wa wazi wazi.
(1.) Je, swali hichi serikali inachokifanya kutakuwa kuna ubayaaaa wowote watu wa kaskazini mwa TANZANIA yaani kutoka Arusha na Moshi wakilalamika kuwa SERIKALI inakumbatia(UNEQUALLY DISTRIBUTION OF RESOURCES)?
(2.) Na je ni nini hatma ya Arusha city na Moshi ikiwa wao Ndio wahusika wanaoishi na izo UNIQUE POTENTIALY RESOURCES Tz nzima ,ambazo zinapatikana kwenye Maeneo yao wanayoishi Nawasilisha mada kwa wadau Naombeni tuilenge mada