Arusha na Moshi ndio moyo wa Dar es Salaam, pasipo mapato kutoka hizi sehemu mbili Dar maendeleo yake yangekuwa taabani sana

Siwezi kuumizwa akili na mvuta bangi uliyefilisika kiakili.. Hebu lala ukue..
 
Siwezi kuumizwa akili na mvuta bangi uliyefilisika kiakili.. Hebu lala ukue..
☹️Soma na hii ili uzidi kuudhika na upasuke kabisaaaaa tayari Moshi na Arusha tumesha ungana km tulivyo kuwa wamoja tangu ukoloni na kuunda jamhuri yetu wenyewe nchi yetu,the Arusha republic (USA),THE UNITED STATE OF ARUSHA ,Na soon itatambulika internationally na UNO, KM Nchi huru ili kusudi tuzitumie resources zetu za Arusha na moshi ili tuzinjenge Moshi na Arusha wenyewe na nchi yetu itakuwa newyork ya 2 ,na Arusha itakuwa jiji no,1 Africa nzima na hapo Ndio itakuwa mwisho wa iyo serikali yenu ya kibaguzi ya mkoloni mweuc kututawala kinguvu na kuchota mapato na kwenda kuijenga dar ,maflyover, barabara ,hapo Ndio iyo serikali yenu ya kibaguzi itajuta kwanini ilikuwa Ina fanya ( UNEQUAL DISTRIBUTION OF RESOURCES) ,maksudi ili kutuhujumu Moshi na Arusha wakati sisi Ndio very potential areas Tz nzima na labda nkuambie tu sisi watu wa kaskazini (Arusha na Moshi) huwa hatunaga mentality ya uwoga na hofu sisi Ni majasiri kwahiyo tukiwa na adhima ya kufanya Jambo letu huwa hatumwogopagi mtu anaitwa binadamu anayetembea km sisi ,pia hatuogopagi kitwa inaitwa risasi au ety kitu inaitwa bomu,au ety kitu inaitwa chombo yoyote ya moto huwa tunaviona Ni uchafu tu vikitumika ety kuzuia sisi tusifanye adhma yetu Hilo halitawezekana hao watakao jaribu kutuzuia pamoja na izo takataka zao walizo zibeba tutawafanya mito ya damu na pia tutawafanya mabucha sisi hatunaga mchezo kwenye kudai haki zetu ama zetu ama zao zao wafe Wao au tufe sisi km inakuuma Sana kunywa sumu kafie mbali huko sawq eeh ,over ,,,,over ☝️☝️☝️☝️
 
Muungane na nani nyie mlivyo wabinafsi.. Hebu lala ukue.. Na usiote ndoto hii utakapokuwa usingizini.. Maana hii ndoto unayoota sasa hivi ukilala tu, itakuja na choo.. Sasa Ole wako ukitumie hicho choo ukiwa usingizini..
 
Muungane na nani nyie mlivyo wabinafsi.. Hebu lala ukue.. Na usiote ndoto hii utakapokuwa usingizini.. Maana hii ndoto unayoota sasa hivi ukilala tu, itakuja na choo.. Sasa Ole wako ukitumie hicho choo ukiwa usingizini..
Umetuona tu sisi Ndio wabinafsi eeeh Ila iyo taka taka serikali yenu ya mchongo ya kibaguzi ya mkoloni mweuc inavyotuba guaga kaskazini Hilo uonii eeeh pumbafuuuh kazi kujifanya kipofu eeeh Sasa utake uctake ,the Arusha republic Ndio kifuatacho Ndio maana kitambo tu watu wa kaskazini huwa hatuitambuagi iyo taka taka serikali yenu ya mchongo ya kibaguzi huwa tunaitambua serikali moja tu ,the Arusha republic (USA),THE UNITED STATE OF ARUSHA ,,,,,JAMHURI YA MUUNGANO WA WATU WA ARUSHA NA MOSHI,,,OVER
 
Nadhani huyu jamaa ameruka step
Alitakiwa aanzie Facebook
Halafu Instagram
Then kule Twitter
Aende Qoura

Halafu aje home of great thinkers
N.B jamii forum imevamiwa
 
Nadhani huyu jamaa ameruka step
Alitakiwa aanzie Facebook
Halafu Instagram
Then kule Twitter
Aende Qoura

Halafu aje home of great thinkers
N.B jamii forum imevamiwa
Tuliza Mshono imevamiwa na watu wenye IQ Zilizo Active ambazo hazija sizi km izo za kwako Ndio maana tunataka tuziamshe izo akili zako zilizolala ambazo zinategemea kulishwa maneno ya kuambiwa na SERIKALI yenu ya mchongo nanyie huwa mnaya chukua na kuya kubali km yalivyo bila kuhoji Sasa Tuliza mawenge na mihemko acha kupaniki ujumbe umekuingia eeeh nirudie tu kusema kwamba tayari Moshi na Arusha tumesha ungana km tulivyo kuwa wamoja tangu ukoloni na kuunda jamhuri yetu wenyewe nchi yetu,the Arusha republic (USA),THE UNITED STATE OF ARUSHA ,Na soon itatambulika internationally na UNO, KM Nchi huru ili kusudi tuzitumie resources zetu za Arusha na moshi ili tuzinjenge Moshi na Arusha wenyewe na nchi yetu itakuwa newyork ya 2 ,na Arusha itakuwa jiji no,1 Africa nzima na hapo Ndio itakuwa mwisho wa iyo serikali yenu ya kibaguzi ya mkoloni mweuc kututawala kinguvu na kuchota mapato na kwenda kuijenga dar ,maflyover, barabara ,hapo Ndio iyo serikali yenu ya kibaguzi itajuta kwanini ilikuwa Ina fanya ( UNEQUAL DISTRIBUTION OF RESOURCES) ,maksudi ili kutuhujumu Moshi na Arusha wakati sisi Ndio very potential areas Tz nzima na labda nkuambie tu sisi watu wa kaskazini (Arusha na Moshi) huwa hatunaga mentality ya uwoga na hofu sisi Ni majasiri kwahiyo tukiwa na adhima ya kufanya Jambo letu huwa hatumwogopagi mtu anaitwa binadamu anayetembea km sisi ,pia hatuogopagi kitwa inaitwa risasi au ety kitu inaitwa bomu,au ety kitu inaitwa chombo yoyote ya moto huwa tunaviona Ni uchafu tu vikitumika ety kuzuia sisi tusifanye adhma yetu Hilo halitawezekana hao watakao jaribu kutuzuia pamoja na izo takataka zao walizo zibeba tutawafanya mito ya damu na pia tutawafanya mabucha sisi hatunaga mchezo kwenye kudai haki zetu ama zetu ama zao zao wafe Wao au tufe sisi km inakuuma Sana kunywa sumu kafie mbali huko message sent ,over ,,,,over
 
Fanyeni hivi pia
Fukuzeni TRA/mamlaka za ushuru
Fukuzeni tanapa
Fukuzeni Military academy and barracks/bases zote
Fukuzeni polisi na uhamiaji.
Ila kabla ya kufunga vyote hapo juu FUNGENI KWANZA VIWANDA VYA KUTENGENEZA VIROBA
 
Mmekuja kuiharibu Sana JF, zamani tulikua tunaparurana Kwa hoja sio Kwa mipasho! Mtoto wa kiume unaandikaje mipasho kiivo asee? Au namna gani vipi nini? Uskute me najua najibizana na mwanaume mwenzangu kumbe ni Mzee wa upinde wa mvua!!

Anyway, kama Serikali inapika data hebu wewe mtaalam tupo data za mwaka Jana zinazoonyesha kua Arusha imejaribu japo kuikaribia Dar Kwa mapato?

NB: Hiyo Mwanza yenyewe tu mnaweza msiiguse Kwa mapato unataka kuringanisha na Dar.. Ha Ha haaaaaaa....
 
Next time jifunze kuandika Kwa kuweka paragraph, huku sio FB.
 
Sisi cyo wakabila Bali Ni ma soldiers tunao zijua haki zetu Ndio maana hatukubali tuibiwe kijinga jinga
Nani akuibie? Kwa biashara gani mnazofanya hadi mseme taifa linatoa pesa kwenu linapeleka miji mingine. Ni hayo maduka au kuna mengine? Dar es salaam ipewe tu heshima yake.
 
mamlakayainchi
Kuna mhaini huko ashughuliwe tafadhali
Anahatarisha usalama wa taifa
 
Hahaaaaahaaa we jamaa punguani kweli
Basi tegenezeni data zenu Arusha ndio Jiji namba moja tanzania dar na mwanza ni vijiji basi mmeshinda maana kubishana na mapunguani utajkuta unakua punguan
 
Hizi bangi mnazovuta zitakuja kuleta maafa hapa Nchini, Kollebundle na @Mturu wanavuta bange ambayo haijulikani inakotoka, ni hatari sana.
 
Mimi kama mtanzania mstaarabu, naomba msamaha kwa Mungu na wa Tanzania wenzangu kwa niaba ya watu hawa wawili Kollebundle na @Mturu watu hawa yaonekana wameingiwa na pepo la aina moja, pepo katili kabisa, pepo la damu, kwa pamoja tumuombe Mungu awaguse kwa mkono wake wenye nguvu, Amen
 
Kwa kigezo Cha wewe kutumia r badala ya l Kwenye neno uliloandika (kuringanisha)Apo chini badala ya kuandika(kuilinganisha),iyo tu inatosha kunitambulisha wewe Ni Mr.MSUKUMA,NA najua hata nikikupa data sahihi kwako we msukuma Ni ngumu kuelewa sababu msukuma hata apate elimu ya degree 90000000+ kamwe hawez kuwa civilized na kujitambua kwahiyo Ni bure,alafu kamwe usijaribu ata cku moja kuilinganisha Arusha city the unique potential area in the world na huo mlima wa mawe uitwao mwanza tangu lini pesa zikatoka kweny milima we acha ushamba pumbafuuuh alafu kwanza hata Kilimanjaro tu yenyew Ni moja ya unique potentially area in the world na yenyew tu bado %ndogo Sana iipite huk mlima wenu wa mawe uitwao mwanza kwahiyo jaribu kuilinganisha mwanza na sumbawanga Ndio level zenu hutaki kanyee mtoni Victoria
 
We bwana mdogo hebu acha kelele.. Angalia mikoa inayochangia pato la Taifa hapo.. Mikoa yako ni namba 7 na 8 huko.. Mwanza na Shinyanga unaowadharau ni namba 2 na 3.. Acha bangi..

SOURCE: NATIONAL BUREAU OF STATISTICS..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…