ARUSHA, nakupenda sana, najivunia kuzaliwa Arusha

we jamaa sijui unaongea nini. tukana yote, ujambazi, ukatili, wizi, utapeli n.k kwa arusha lakini sio ufukara. kati ya mikoa ambayo watu wengi wana pesa arusha mojwapo. ila ushoga naona umehamia kwa watoto wa kiarusha arusha labda kwasababu wanaanza kuzurura mtaani na kutafuta maisha wakiwa wadogo sana na watu wanawarubuni. pia jamii ya kichaga siku hizi sio moshi tu popote walipo wachunge watoto wao, mashoga wengi sana toka kabila hilo. siri ni kutafuta maisha, penda sana makafara na madawa ya kutafuta pesa kumbe unaondoa nyota ya watoto wako na kuwatoa kafara watoto kwenye maroho machafu bila hata wewe kujua. Mungu iokoe Tanzania.
 
Kweli eh hapo kwenye uganga niukweli
 
Mimi sio jamaa aisee kama kuna mtu amekuambia mi jamaa basi wewe demu shie hii kitu ol shipina lesiu . Olkuri loata ngik
 
Kanda ya ziwa, mikoa ya kusini, pwani na dar+Zanzibar nchi,, hawana mambo ya kujisifu!! Yani arusha ingelikua mji mkubwa, wenye kuvutia na mzunguko wa pesa ni mkubwa kama DAR na MWZ, aise sijui ingekuaje!!😁😁😁 kweli huwezi kupewa vyote,
 
Arusha ni zaidi ya dar na mwanza
 
Hivi mkuu lumumba, kaskazini ndio nature yao kujisifu hata kama sifa hiyo haikidhi!! Japo sio wote wanaojisifu.
Kiukweli! Northerners are proud people. Proud of their home, proud of their tribes, which truly is a good thing! Thou sometimes their bragging goes beyond the edge and turns into megalomania.......
Kama ulivyosema wanajifu hata kwenye sifa zisizokidhi.....
 
Kumbe mvuta bangi?? Karibu moshono boma siara, ila bangi usije nayo, tumepambana kuujenga na kuustawisha mkoa wetu wa Arusha kwa jasho na damu halafu unatoka kijukuu sijui cha muuza bangi gani Huko kina leta kelele hadi sisi wote tunaonekana washamba, nipo Accra hapa naseti maisha, nita rudi chugga any time soon, ila hiyo over rational tuipunguze kabisa, kwa mtu aliyezurura vizurI atakushangaa sana unavyo overrate arusha yetu, we have a long way to go still

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Sehemu pekee ambayo bado kuna ushamba wa kuvuta bangi barabarani ni lemara kati, na matejoo, na kingine ni hospitality, arusha usitegemee kupata huduma uliyoipata Mwanza, dar, au moro, huku, hata ukiingia hotelini unahudumiwa kibabe, mimi ni A-towner halisi, nime zaliwa kijenge chini, nikakulia maghorofa ya makao mapya karibu na tca,enzi hizo tunapaita Melini, nimesoma ngarenaro,levolosi, arusha sec, nime piga mbishe zote za kimsingi hapo hapo Town, tuache propaganda za kishamba, arusha ina safari ndefu kufikia ustaarabu wa dunia ya Leo, bado sana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hizo kanda wamestaarabika sana na wanajiamini watu wa Arusha hawajiamini sana ndo maana wanapenda battle zisizo na faida kabisa
 
Hizo kanda wamestaarabika sana na wanajiamini watu wa Arusha hawajiamini sana ndo maana wanapenda battle zisizo na faida kabisa

Ustaarabu utatokea wapi mkuu Accumen!😱 wengi wao hawana ustaarabu,, mkoa wenyewe hauna historia ya kutembelewa ama kuishi na waarabu ila wazungu na mayahudi ndio wanawatembelea πŸ˜…, sasa huo ustaarabu utatoka wapi!! Japo sio wote, wapo wanaojitambua, wastaarabu na wenye imani. Labda anaejua mji huo au ukanda huo ulishawahi kutembelewa na wastaarabu atujuze Accumen Mo
 
Hiyo Monduli na Longido ndio mmestaarabika ?
 
Kuna sehem inaitwa PHILIPS njia ya kwenda namanga kuna barid kinyade yan
 
Hapa nabishana na wanaume waliotahiriwa hospitalπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…