ARUSHA, nakupenda sana, najivunia kuzaliwa Arusha

Nadhani hujatembea wewe,dar vitoto vinavuta bangi barabarani ,huku manzese, mabibo,buguruni mpaka vitoto vya kike dada unachokisema kuhusu bangi ukielewi umekaririshwa
 
Unauliza asili ya masai katahiriwa wapi???au huoni dada zako wanachapwa fimbo na wamasai wanaowasuka mpaka wanakimbia ndoa zao

Kwahiyo wewe umezaliwa na kukulia kijijini/porini huko, ukaenda arusha kushangaa shangaa vigorofa na kutuletea feedback eti!! 🤣🤣 basi sawa
 
Leo hali ya hewa safi sana,nipo hapa big boom nakunywa zangu k vant
 
Arusha kuna vumbi tifutifu sio mchezo...ukikanyaga tu mguu linatibuka!
 
Jinsi arusha wanavyoizungumzia na ukifika arusha yenyewe sasa

Ndio utaamini bangi imewaathiri kwa kiwango kikubwa sana

Nasubiri battle la arusha na Dubai city 🤣🤣 sijui huwa wanawaza nini sometimes, hawaoni aibu!!! Mwingine utamsikia oh arusha ni zaidi ya mwanza 🤣🤣 acha wajifurahishe tu, tumewazoea
 
Unatakiwa uandike kwamba "my mother is the best cook" kijana wa Arusha lugha inakusumbua...hahahaha...🤣🤣🤣🤣
Wewe hapo hujaelewa,nadhani,kingereza kimepanuka sio kama kiswahili,nachomaanisha hapo mama yangu ni jiko,na kazi ya jiko ni kupika chakula,mama yangu namfananisha na jiko katupika vinzuri(katulea vinzuri) ndo maana kwetu hakuna shoga,sasa wewe ulidhani nitamuita mama yangu mpishi??mpishi anapika vyakula vitamu na visivyo vitamu soo mama yangu ni zaidi ya hilo jiko analotimia huyo mpishi,nachoongelea hapo ni lugha ya picha usiwe unakurupuka kwa usichokijua naona umevamia mtumbwi wa vibengo,sasa wewe unajua lugha gani??
 
Tunaenda mbele na tunarudi nyuma hata kama ulikua unatumia figure of speech..hakuna kitu kama "my mother is the best cooker" kutokujua lugha ndo kumekufanya udhani unaweza weka statement au sentensi ya aina hio kwa maelezo yako uliyoyaweka sentensi iliosahihi kwa lugha ya kiingereza ni "my mother is the best cook" hata kama umemaanisha kuwapika vizuri kitabia au kiblaah blaaah zingine...kaaa humo...kijana wa Arusha lugha inakupa tabu sio...🤣🤣🤣🤣
 
Maybe wewe unajua lugha,sidhani unaijua lugha kama mimi navyojua,nachoona hapa anataka kujifanya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…