ARUSHA, nakupenda sana, najivunia kuzaliwa Arusha

Arusha pazuri na watu wanapambana sana. Kufanya biashara Arusha inabidi uwe na akili nyingi sana plus UBABE kimtindo. Kuna wapuuzi wachache wanaofanya Arusha ionekane ni ya wavuta bangi na mambo mengine ya kishenzi. Kitu ambacho ninamiss sana Arusha ni zile promotion za Sprite ambazo zinakuwa na mashindano ya vijana ku-rap. Nilikuwa nainjoi sana pale uwanja wa Basketball Soweto. Jinsi madogo wa Arusha wanavyorap ni tofauti kabisa na Dar. Kwa mpenzi wa Hiphop utafurahia sana ukiwa Arusha.
 
Sema soweto pamekuwa Pakishua sana,nakumbuka nilikuwa na kodisha baiskeli kwa godi pale tangila maji naenda kula round soweto,nichoka nacheza basket
 
Best cooker? Umemdhalilisha mamako. Umetumia pesa zake bure shuleni.
Sijamdharirisha mama yangu,Mama yangu ni jiko katupika vinzuri ndo maana hakuna shoga kwetu,au wewe umeelewaje?vice versa is true
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…