ARUSHA: Polisi hawara aua mume wa ndoa kwa risasi

Hivi mwanamke mzinifu ni wa kuvumilia? Huyo ni sumu inayouwa ukiona hivyo tafuta mwanamke meingine kwa siri...oa.

Baada ya mwezi mpe taarifa...achague moja taraka au aendelee.

.
Mwingine akiendelea fanya hivyohivyo
Asante kwa kunipeleka shule.
 
Hapo ukisoma kwa makini. Hiyo kesi wote watatu wana makosa pauline ana makosa, polisi ana makosa na marehemu pia ana makosa. Hata kama ni nyie mngekua ndo huyo polisi ni lazima mngejihami tu. Sasa kama marehemu angemkata kweri hilo panga? Ilikua ni lazima ajihami. Mim ndo maana sitokuja kuoa. Tena habari kama hizi ndo zinanikata moto kabisa.
 
Tatizo la askari ni kwenda kwenye tukio huku akijua ana mgongano wa maslahi (kama ni kweli).
 
Mkuu na hali halisi ni kuwa hata kama polisi alikuwa anachepuka na huyo mke wa mtu ataanza kumkwepa sasa baada ya kuwa mjane. Sijui hili jambo huwa lina siri gani lakini mara nyingi mwanamke ''anapendeka'' anapokuwa kwenye ndoa lakini mara akiachika wanaume wanaanza kumpiga chenga.
 
Mtamu akiwa naye wa kumpa ugali.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Umeongea point mzee baba
 
Polisi walitumia nguvu nyingi.
Hata kama marehemu alikuwa na panga Askari angempiga risasi miguuni siyo sehemu nyingine.
 

Hahahaha hapa waliooa wangejifanya ukitembea na Mke wa mtu sumu...
Oooh utafanywa vibayaaa...
Ona Sasa Mwenye Mke kawahia kafa yeye...
Wengine wangekuambia oooh kutembea na Mke wa Mtu andaa na Mafuta
Jamaaa kachukua Bastola kabisa kwenda Kumaliza Kazi!
Ona Sasa ataendelea kutafuna tuu
 
bora kuachana tu ikiwa hamuelewani.

Hili ndio neno Mkuu
Sio wengine Ohhh nikikuta Anatembea na Mke wangu aandae na Mafuta sijui...
Ona mwenzenu kafa tayari...
Haya Mambo hayana Fomula ujue...
Mwanamke mtu mzima unamteteaje?
Kafanya Kitu akijua
 
Kesi imegeuzwa U turn.
na Muda si mrefu, ndoa ya Afande mpiga risasi Na Paulina mke halali wa Marehemu itakuwa hewani.
Ila laana itaambatana nao hakika.
 
Kesi itakuwa ya mauaji pasipo kukusudia.
 
Kama ni kweli alikuwa anataka kuwakata na panga hapo ni wazi hiyo ni kesi ya mauaji pasipo kukuudia wakati mtu anashambuliwa
Tayari polisi wamepindisha kesi kumlinda mwenzao na kesi ya mauaji. This world is not fair
 
Bro Mke anauma

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwa uzoefu wangu njia nzuri kabisa ya kutatua matatizo kama haya ya mwenza wako kudanga ni kuachana naye haraka iwezekavyo wakati ukiwa kwenye mood nzuri. Hebu fikiria jamaa anatembea na mke wako halafu siku unagombana na mke wako pengine amekutukana mbele ya watu, jamaa ndiyo anakuja kukuweka chini ya ulinzi. Ni wanaume wengi wanaweza kujizuia kwenye hali kama hii. Ilitakiwa amtimue tangu mwanzo aende kuishi na huyo anayempa kiburi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…