DOKEZO Arusha: Pombe iitwayo "Nyingii Nyingii" inavyotesa vijana na kuvimbisha nyuso zao

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hatari sana hiyo pombe
Hata dada poa wa Ngarenaro kambi ya fisi wanainywa sana
 
Kunenepa usoni ni dalili ya figo kuzidiwa.
 
Mkuu fanya mpango wa kapicha tuone mashavu ya kijana alieathirika na Nyingii nyingii
 
Pombe unalala siku 2 hiyo colombia wakiiskia wataangiza lita za kutosha
 
Miaka 20 badae biashara ya kufungua kituo cha kufanyia dialysis italipa sna , ebu tuangalie upumbavu wa wengne kwa jicho la kifursa zaidi.
Hao wanaovimba uso dialysis hata wakiambiwa 10000 kwa wiki hawawezi kulipia...huku uswahilini vijana wamekwisha hata nguvu ya kumpa mwanamke unyumba hazipo,mwendo kaumaliza tayari
 
Acha wanywe Vijana,Wana mawazo na bandari yao
 
Pombe kama hizi ama zinazo fanana na hizi, zimewafanya vijana kua na muonekano utadhani wamepigwa virungu kwenye magoti ama viwiko aiseeee
 
We unawaonaje wale vijana wa Chuga... Wamepinda wakapindika, hiyo kwao ni chai tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…