DOKEZO Arusha: Pombe iitwayo "Nyingii Nyingii" inavyotesa vijana na kuvimbisha nyuso zao

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mbongo sahv we mpe pombe, muweke mziki kwisha kazi
Anasahau kila kitu,yaani kamaliza

Ova
 
Gongo hiyo, huku kwetu Songea Inaitwa SAWANI.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao wanaovimba uso dialysis hata wakiambiwa 10000 kwa wiki hawawezi kulipia...huku uswahilini vijana wamekwisha hata nguvu ya kumpa mwanamke unyumba hazipo,mwendo kaumaliza tayari
😆
 
TBS hawafanyi kazi yao ipasavyo, Arusha kila mtaa utakaopita kuna toleo lake la pombe ya vibobo na ukisoma label unakutana na mhuri wa TBS kuwa inafaa kwa matumizi. HIGHLIFE, SAUWA, DIAMOND ROCK, JAMBO REE, RIVELA, DON NYATI, ZED, MASTA, POWER, TIGER n.k ni pombe ambazo hazikuaswa kuuzwa wala kupewa leseni a kuzalishwa kwa sababu ni hatari kwa afya ya mnywaji na vichupa vyake vinaongozo kuchafua mazingira.
 
Wapi hiy Wapi tupicha picha twa hiyo nyingiii nyingiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…