Pre GE2025 ARUSHA: Rais Samia alirudishia Kanisa Katoliki eneo lao pamoja na Tsh milioni 500 zilizochukuliwa na Halmashauri ya Jiji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kanisa katoliki limeporwa maeneo mengi sana, kama wameamua kuyarudisha, warudishe yote.
Kuna moja mzee wa victoria she'll walimpigaaa wahuni wa manispaa mamilion kanisa likakomaaaa aisee wasirudishiwe hela zao mzee ashajenga she'll kila kona dah akaamriwa wakae na kanisa anunue
Mzee ana hamu tenaa na mjii
 
HUU SIONITAPELI N WIZII

HAWAONI AIBU UNACHUKUA PESA ZA KANISAAA HUI N USHETAN

HAKMASAHAURI MKOAA MMEPATWA NA NN AISEE TULIJUA

MNAPIGA WAFANYABIASHARA TU HADI KANISAN



MKIFA MNARUDI KWAO WAAAOMBEE MLALE SALAMA MNA SHIDA
CCM ni laana sn
 
Kuna moja mzee wa victoria she'll walimpigaaa wahuni wa manispaa mamilion kanisa likakomaaaa aisee wasirudishiwe hela zao mzee ashajenga she'll kila kona dah akaamriwa wakae na kanisa anunue
Mzee ana hamu tenaa na mjii
Migogoro ni dili za viongozi wa CCM
 
Shule ya Naura pale Polisi Traffic back in the day hiyo shule ilikuwa ya Mission.Kipindi cha Magu ikaja proposal kanisa wajenge shule sehemu nyingine iliwapewe hilo eneo Lao,kwasababu kanisa kuu la Mt Theresia walikuwa wanahuitaji wa parking baada ya ujenzi wa kanisa jipya
 
Wasukuma mlitakiwa msiruhusiwe kuja dar
 
Mama mwadilifu sana,๐Ÿค๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
 
Warudishe na maeneo ya kanisa waliyopora na kuyageuza kuwa chuo cha ADEM, mfano Bagamoyo na Moro, pale ADEM Bagamoyo kuna kanisa la zamani limegeuzwa sehemu ya kuchekia TV (mpira), kulia chakula na kuchezea pool table.
Kanisa limehodhi ardhi kubwa sana nchi hii
 
Eneo husika ni Mali ya Kanisa Katoliki, huo ndiyo ukweli Wala siyo kampeni

Yapo maeneo mengi tu.mali ya RC waliporwa hivyo ni vema warudishiwe
 
Wamasai aliowafukuza na kuuza ardhi Yao Kwa waarabu atawarudishia lini ardhi Yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ