Pre GE2025 ARUSHA: Rais Samia alirudishia Kanisa Katoliki eneo lao pamoja na Tsh milioni 500 zilizochukuliwa na Halmashauri ya Jiji

Pre GE2025 ARUSHA: Rais Samia alirudishia Kanisa Katoliki eneo lao pamoja na Tsh milioni 500 zilizochukuliwa na Halmashauri ya Jiji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kanisa katoliki limeporwa maeneo mengi sana, kama wameamua kuyarudisha, warudishe yote.
Kuna moja mzee wa victoria she'll walimpigaaa wahuni wa manispaa mamilion kanisa likakomaaaa aisee wasirudishiwe hela zao mzee ashajenga she'll kila kona dah akaamriwa wakae na kanisa anunue
Mzee ana hamu tenaa na mjii
 
HUU SIONITAPELI N WIZII

HAWAONI AIBU UNACHUKUA PESA ZA KANISAAA HUI N USHETAN

HAKMASAHAURI MKOAA MMEPATWA NA NN AISEE TULIJUA

MNAPIGA WAFANYABIASHARA TU HADI KANISAN



MKIFA MNARUDI KWAO WAAAOMBEE MLALE SALAMA MNA SHIDA
CCM ni laana sn
 
Kuna moja mzee wa victoria she'll walimpigaaa wahuni wa manispaa mamilion kanisa likakomaaaa aisee wasirudishiwe hela zao mzee ashajenga she'll kila kona dah akaamriwa wakae na kanisa anunue
Mzee ana hamu tenaa na mjii
Migogoro ni dili za viongozi wa CCM
 
Ni eneo lipi na lipo wapi?? Mungu ambariki mheshimiwa Rais kwa hili.. hapa Arusha Kuna UONEVU sana..kuna kipindi watu walipatwa na mikasa ya kunyang'anywa mali zao, kumbe mpaka taasisi nazo zilimyang'anywa mali... Mchengerwa hili ulilofanya la kugikisha hili kwa Rais barikiwa sana.

Huyo kijana ambae kwa sasa ni mbunge (Mzee wa shoti)kipindi akiwa mkuu wa mkoa aliumiza sana watu.. Yani unasingiziwa CHADEMA Ili ushughulikiwe. It was sad
Shule ya Naura pale Polisi Traffic back in the day hiyo shule ilikuwa ya Mission.Kipindi cha Magu ikaja proposal kanisa wajenge shule sehemu nyingine iliwapewe hilo eneo Lao,kwasababu kanisa kuu la Mt Theresia walikuwa wanahuitaji wa parking baada ya ujenzi wa kanisa jipya
 
Samia nampenda sana Samia namkubali sana Samia ni Mama wa Taifa Samia tumuunge mkono jmn!

Nipo Kitambaa cheupe mpya Mbagala aisée watu wanakula bata kinomanoma *****!

Lazima nitafute chumba huku Dar!

Dah! Mnaojenga Dar nyie wanaume..

Samia....Mitano tena!

Mnyantuzu safarini kuelekea Kibololoni
Wasukuma mlitakiwa msiruhusiwe kuja dar
 
Mama mwadilifu sana,🤝🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Warudishe na maeneo ya kanisa waliyopora na kuyageuza kuwa chuo cha ADEM, mfano Bagamoyo na Moro, pale ADEM Bagamoyo kuna kanisa la zamani limegeuzwa sehemu ya kuchekia TV (mpira), kulia chakula na kuchezea pool table.
Kanisa limehodhi ardhi kubwa sana nchi hii
 
Eneo husika ni Mali ya Kanisa Katoliki, huo ndiyo ukweli Wala siyo kampeni

Yapo maeneo mengi tu.mali ya RC waliporwa hivyo ni vema warudishiwe
 
Wamasai aliowafukuza na kuuza ardhi Yao Kwa waarabu atawarudishia lini ardhi Yao?
 
Back
Top Bottom