Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
Kumbe wewe ni mzanzibar??..mikopo zitapunguza utegemezi wa Zanzibar kwa Tanganyika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe wewe ni mzanzibar??..mikopo zitapunguza utegemezi wa Zanzibar kwa Tanganyika.
Kumbe wewe ni mzanzibar??
Kuna moja mzee wa victoria she'll walimpigaaa wahuni wa manispaa mamilion kanisa likakomaaaa aisee wasirudishiwe hela zao mzee ashajenga she'll kila kona dah akaamriwa wakae na kanisa anunueKanisa katoliki limeporwa maeneo mengi sana, kama wameamua kuyarudisha, warudishe yote.
CCM ni laana snHUU SIONITAPELI N WIZII
HAWAONI AIBU UNACHUKUA PESA ZA KANISAAA HUI N USHETAN
HAKMASAHAURI MKOAA MMEPATWA NA NN AISEE TULIJUA
MNAPIGA WAFANYABIASHARA TU HADI KANISAN
MKIFA MNARUDI KWAO WAAAOMBEE MLALE SALAMA MNA SHIDA
Stand inabidi itoke hapa town ni aibu kubwa snActualy haijengwei stand mjini tena, watasogea nje ya mji kidogo kama walivyo panga
Migogoro ni dili za viongozi wa CCMKuna moja mzee wa victoria she'll walimpigaaa wahuni wa manispaa mamilion kanisa likakomaaaa aisee wasirudishiwe hela zao mzee ashajenga she'll kila kona dah akaamriwa wakae na kanisa anunue
Mzee ana hamu tenaa na mjii
Shule ya Naura pale Polisi Traffic back in the day hiyo shule ilikuwa ya Mission.Kipindi cha Magu ikaja proposal kanisa wajenge shule sehemu nyingine iliwapewe hilo eneo Lao,kwasababu kanisa kuu la Mt Theresia walikuwa wanahuitaji wa parking baada ya ujenzi wa kanisa jipyaNi eneo lipi na lipo wapi?? Mungu ambariki mheshimiwa Rais kwa hili.. hapa Arusha Kuna UONEVU sana..kuna kipindi watu walipatwa na mikasa ya kunyang'anywa mali zao, kumbe mpaka taasisi nazo zilimyang'anywa mali... Mchengerwa hili ulilofanya la kugikisha hili kwa Rais barikiwa sana.
Huyo kijana ambae kwa sasa ni mbunge (Mzee wa shoti)kipindi akiwa mkuu wa mkoa aliumiza sana watu.. Yani unasingiziwa CHADEMA Ili ushughulikiwe. It was sad
Wasukuma mlitakiwa msiruhusiwe kuja darSamia nampenda sana Samia namkubali sana Samia ni Mama wa Taifa Samia tumuunge mkono jmn!
Nipo Kitambaa cheupe mpya Mbagala aisée watu wanakula bata kinomanoma *****!
Lazima nitafute chumba huku Dar!
Dah! Mnaojenga Dar nyie wanaume..
Samia....Mitano tena!
Mnyantuzu safarini kuelekea Kibololoni
kanisa kama kanisaSawa, ila kwanini asiwajereshee wapinzani haki yao ya kufanya siasa bila kubugudhiwa na dola? Anajenga huko anabomoa huku.
Kanisa limehodhi ardhi kubwa sana nchi hiiWarudishe na maeneo ya kanisa waliyopora na kuyageuza kuwa chuo cha ADEM, mfano Bagamoyo na Moro, pale ADEM Bagamoyo kuna kanisa la zamani limegeuzwa sehemu ya kuchekia TV (mpira), kulia chakula na kuchezea pool table.
Kama wanaipata hiyo Aridhi kihalali hakuna shida,mradi tu taratibu na sheria za Aridhi zifuatwe ipasavyo!!Kanisa limehodhi ardhi kubwa sana nchi hii
Tumeshamstukia kitamboKampeni.
Hadaa na ulaghai mwingi.Kampeni.
Ndo tushakuja Sasa na tuna mzigo kuliko nyie wazawa..Wasukuma mlitakiwa msiruhusiwe kuja dar