Arusha: Risiti za vifo zaidi ya 50 zakutwa ndani ya nyumba ya Ramji Hatibu Mlacha

UPDATE:

Nyumba ya bwana Ramji imevunjwa na wananchi na baada ya kuvunjwa, Polisi walikuja na mtuhumiwa kuonesha mambo mbali mbali yaliyojificha kwenye nyumba hiyo na walichimbua ardhini na kukuta baadhi ya vifurushi na masweta takriban 15 na vitu vilivyofungwa mithili ya vifurushi vidogo vya nguo, pamoja na mijusi iliokauka.
 
Mwaka wa kufosi
 
Mbona wakienda kuwakamata wakina boni yai na kuwqzuia cdm
Wanaweza 😄

Ova
 
Huyi ramji kakamatwa

Ova
 
Nilidhani una UBONGO kumbe ni mpira ulio jaa upepo tu. Mko tayari kuchangia fedha kwa ajili ya MAZISHI NA HARUSI.
HAMKO TAYARI KUCHANGIA MATIBABU!
 
Jamaa ni wakuombewa kwa kweli sio akili yake utakuta au hana mtoto kwa hiyo a feel maumivu ya familia ya mtoto Hugo😭😭
 
Hizo fesitivo ndio kazi yake.

Yule mzee wa miujiza na maajabu zile safari zake za hapa na pale. Wenye akili msio na D mbili mtaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…