Arusha: Risiti za vifo zaidi ya 50 zakutwa ndani ya nyumba ya Ramji Hatibu Mlacha

Tukio lilianzia baada ya:

Mtoto wa miaka 11 (Maryam) anayesoma darasa la sita Kata ya Sokone One kukutwa ameuawa kwa kukatwa katwa na kutenganishwa mwili wake na kichwa na kisha kuwekwa kwenye beseni na kufichwa uvunguni mwa kitanda katika nyumba ya bwana Ramji Hatibu Mlacha.

Baada ya taharuki hii wananchi waliamua kuvunja nyumba, kuchukua na kutoa vitu vyote ndani ya nyumba

katika vitu vilivokutwa ni risiti zaidi ya 50 zikionesha malipo ya ada za vifo vya watu, risiti hizo zipo zinazoonesha vifo vinatakiwa 9 kwa risiti moja.

katika risiti hizo P.O.box inasoma
U.U.K.K. USANGI
P.O.Box 209 ARUSHA

Wananchi wanadai hiyo miaka sio hii tunayohesabu, pengine wanamiaka yao kwakua hizo risiti na za hivi miaka ya karibuni.

Mtuhumiwa alikua anaishi na mkewe.
Na aliyegundua kuwepo kwa mtoto huyo ni baada ya mtoto wao wakike aliyeolewa kuja kuwasalimia akiwa na mjukuu, mjukuu huyo aliingia ndani kutafta kiatu na kukuta mkono chini ya uvungu ndipo alipomuita mama yake na wakaanza kupiga kelele na watu kujaaa
View attachment 3123295

View attachment 3123250
Kwenye

Wenye mamlaka ya kutoa risiti za vifo ni RITA, je izo zinazosemekana kuwa ni risiti zina muhuli wa RITA?, kama hakuna, zisiitwe risiti mana ni upotoshaji.
 
Mambo haya yanapatikana kwa familia maskini zinazoamini bila kuwa mshirikina hutoboi.
Angalia nyumba hiyo ni ya mtu fukara
Mkuu kongole. Jamaa anadanganya eti haya mambo ni ya nyumba za matajiri. Ukweli ni kwamba ushirikina na umaskini ni ndugu. Maskini huwa wanajaribu kudanganya kuwa ili uwe tajiri eti mpaka uwe mshirikina. Hii ni namna ya kujiliwaza na kujidanganya na kuwafanya maskini wengi wakimbilie ushirikina.
 
Naona Wachawi wa JF wamevamia huu uzi wanajaribu kutuaminisha kwamba hicho kifo ni cha kawaida,hizo risiti ni za mchango wa msiba ,n.k. Oya acheni kuroga wenzenu nyie mafala,msitake kuhalalisha uchawi wenu hapa.
Noma mwanangu... yani unakuta mtu anapambana kutuaminisha kwamba hili tukio ni la kawaida.. eti ni michango ya rambirambi imewekwa kwenye risiti 😆
 
Back
Top Bottom