Arusha: Risiti za vifo zaidi ya 50 zakutwa ndani ya nyumba ya Ramji Hatibu Mlacha

Arusha: Risiti za vifo zaidi ya 50 zakutwa ndani ya nyumba ya Ramji Hatibu Mlacha

UPDATE:

Nyumba ya bwana Ramji imevunjwa na wananchi na baada ya kuvunjwa, Polisi walikuja na mtuhumiwa kuonesha mambo mbali mbali yaliyojificha kwenye nyumba hiyo na walichimbua ardhini na kukuta baadhi ya vifurushi na masweta takriban 15 na vitu vilivyofungwa mithili ya vifurushi vidogo vya nguo, pamoja na mijusi iliokauka.
20241013_163847.jpg
 
UPDATE:

Nyumba ya bwana Ramji imevunjwa na wananchi na baada ya kuvunjwa, Polisi walikuja na mtuhumiwa kuonesha mambo mbali mbali yaliyojificha kwenye nyumba hiyo na walichimbua ardhini na kukuta baadhi ya viungo na vitu vilivyofungwa mithili ya vifurushi vidogo vya nguo.

baadhi ya viungo ni macho, moyo, vidole, sehemu za siri pamoja na mijusi iliokauka.
View attachment 3123738
Mwaka wa kufosi
 
Kinachoudhi zaidi inafikia hatua wananchi waamua kuchukua hatua wenyewe.

Hapo utakuta wameripoti polisi mpaka wamechoka, wakaona isiwe shida bora waingie wenyewe kazini.

Hii inaweza kuwa record mtu mmoja kuweza kuuwa zaidi ya watu hamsini tena anaishi maeneo ambayo yana high density.

Ngoja sasa uwasikie hao polisi wanavyojitapa na hawa usalama uchwara wa JF. Yaani mtu anauwa 50 plus people uhalifu unaishia ibuliwa na raia, kule Singida nako maiti 13 hapo nyumbani kwa mganga.

Ukienda maeneo ya madini, waganga makaburi yao yanaweza kuwa wamezika watu zaidi ya mia.

Polisi wa hovyo duniani sijapata ona. Sasa hivi unadhani Muliro ndio IGP. Wengine kimya huyu Wambura ndio IGP aliepwaya kweli. Awamu ya tano polisi walikuwa active and responsive; siku hizi wala habari hawana.

Mitano tena
Mbona wakienda kuwakamata wakina boni yai na kuwqzuia cdm
Wanaweza 😄

Ova
 
UPDATE:

Nyumba ya bwana Ramji imevunjwa na wananchi na baada ya kuvunjwa, Polisi walikuja na mtuhumiwa kuonesha mambo mbali mbali yaliyojificha kwenye nyumba hiyo na walichimbua ardhini na kukuta baadhi ya viungo na vitu vilivyofungwa mithili ya vifurushi vidogo vya nguo.

baadhi ya viungo ni macho, moyo, vidole, sehemu za siri pamoja na mijusi iliokauka.
View attachment 3123738
Huyi ramji kakamatwa

Ova
 
Mwisho samahani kwa maelezo mengi

Vyama vya kufa na kuzikana vingi vimeleta shida baada ya watu kuanza kula hela hizi

Tulipanga kuchanga kwenye ukoo wetu hela ilafika million 14, baba yangu mdogo akaiba million 8 na kuziweka kwenye business zake. Mpaka leo hazijarudi

Juzi niliwashawishi baadhi ya watu tuwe na list ya watu 200 tu. Ila hatitachanga kila mwezi

Chama chetu kitakuwa cha wanachama wanaosaodiana tu wakati shida ikitokea. Mfano kila mwanachama akitoa elfu 20, aliyepata matatizo atapa millions 4

Matatizo gani nayazungumzia hapa?
1. Mfano ajali
2. kufiwa na baba, Mama, mtoto na mke tu. Misiba mingine ya babu, bibi, mjomba haitohusiana
3. Kusapoti mchango wa harusi

Sio kila jambo mnarukia uchawi kutoka kilimanjaro.

Akili yako mkiona watu wanafanya maendeleo ni wachawi. Wewe ndio mchawi mkubwa

Unakuta mtu ana kiduka anauza mpaka saa saba za usiku, mnamuita mchawi. Kama angekuwa mchawi angelala hela ziingie sio kuwa anapambana toka asubuhi akichuma mnamuita mchawi

Tafuteni hela
Nilidhani una UBONGO kumbe ni mpira ulio jaa upepo tu. Mko tayari kuchangia fedha kwa ajili ya MAZISHI NA HARUSI.
HAMKO TAYARI KUCHANGIA MATIBABU!
 
Wewe ulie elewa vizuri tueleweshe, bado vifo 7 ina maanisha nini? Kama mtu kachangia kwenye vifo vilivyopita na kabakiza vifo saba, ndo tunavyotskiwa kuandika tukizingatia tafsida?? Mbona maneno yaliyotumika ni makali sana? Vifo 7 au misiba 7?

Uliwahi kusikia wapi watu wanatangaza eti kuna kifo kwa flani? Sahihi ni kuna msiba kwa flani. Ambao hawakutoa michango vifo vilivyooita? Auvn ambao hawakutoa michango misiba ilopta?

Hizo list zina aksi ukatili na kutokujali yani ni kabda jama ni vifo vya wanyama au ndege ndo vinavyo ongelewa kwenye hizo list na si vya binadamu.

Kwako hata hilo la mtoto kukutwa kafa kinyama bado jambo dogo tu ?
Jamaa ni wakuombewa kwa kweli sio akili yake utakuta au hana mtoto kwa hiyo a feel maumivu ya familia ya mtoto Hugo😭😭
 
Tukio lilianzia baada ya:

Mtoto wa miaka 11 (Maryam) anayesoma darasa la sita Kata ya Sokone One kukutwa ameuawa kwa kukatwa katwa na kutenganishwa mwili wake na kichwa na kisha kuwekwa kwenye beseni na kufichwa uvunguni mwa kitanda katika nyumba ya bwana Ramji Hatibu Mlacha.

Baada ya taharuki hii wananchi waliamua kuvunja nyumba, kuchukua na kutoa vitu vyote ndani ya nyumba

katika vitu vilivokutwa ni risiti zaidi ya 50 zikionesha malipo ya ada za vifo vya watu, risiti hizo zipo zinazoonesha vifo vinatakiwa 9 kwa risiti moja.

katika risiti hizo P.O.box inasoma
U.U.K.K. USANGI
P.O.Box 209 ARUSHA


Wananchi wanadai hiyo miaka sio hii tunayohesabu, pengine wanamiaka yao kwakua hizo risiti na za hivi miaka ya karibuni.

Mtuhumiwa alikua anaishi na mkewe.
Na aliyegundua kuwepo kwa mtoto huyo ni baada ya mtoto wao wakike aliyeolewa kuja kuwasalimia akiwa na mjukuu, mjukuu huyo aliingia ndani kutafta kiatu na kukuta mkono chini ya uvungu ndipo alipomuita mama yake na wakaanza kupiga kelele na watu kujaaa
View attachment 3123295

View attachment 3123250


UPDATE:
Nyumba ya bwana Ramji imevunjwa na wananchi na baada ya kuvunjwa walichimbua ardhini na kukuta baadhi ya viungo na vitu vilivyofungwa mithili ya vifurushi vidogo vya nguo.

baadhi ya viungo ni macho, moyo, vidole, sehemu za siri pamoja na mijusi iliyokauka.
Hizo fesitivo ndio kazi yake.

Yule mzee wa miujiza na maajabu zile safari zake za hapa na pale. Wenye akili msio na D mbili mtaelewa
 
Back
Top Bottom