Arusha: Sabaya na wenzake wafikishwa Mahakamani. Kesi yaahirishwa baada ya mashahidi kukosekana Mahakamani

Zile pesa zimeanza kuonekana kazi yake.
Vipi CCTV zimepotea ?
 
Kazi ipi aliofanya? Au ile ya kuteka watu na kupokonya watu hela zao?
 
Tayari kimeumana mashahidi wa kununuliwa wanaanza kuogopa hivi nyie mnaodanganywa kuunda ushahidi mahakamani sio pa mchezo ni moto hasa mtaumbuka mchana kweupe tena mapema kabisa.
 
Tayari kimeumana mashahidi wa kununuliwa wanaanza kuogopa hivi nyie mnaodanganywa kuunda ushahidi mahakamani sio pa mchezo ni moto hasa mtaumbuka mchana kweupe tena mapema kabisa.
Wewe usiyenunuliwa si uende ukatoe ushahidi mahakamani?
 
Tulia wewe mama, inatakiwa iwe hivyo hata miaka miwili. Hajamaliza hata miezi mi5 mshaanza kulalamika? Kuna waliokaa miaka
Kweli kabisa Mataga hayajui hata mwenendo wa kesi,hayajui Rugemalira huu ni mwaka wa ngapi upelelezi haijakamilika mpaka sasa

Inatakiwa kesi ya Sabaya iende mpaka miaka 4 mashahidi hakuna kwenda.
 
Mbona wenzake wamekaa miaka ndani bila ushahidi
 
Huyo bwana ako jambazi lazima tumfunge safari hii
 
Acha jizi walitatue marinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…