mashahidi mmejificha Jf hamuendi mahakamani, utuambie ni kwa nini basi kesi yake isifutwe?Uyu jamaa soon ataachiwa na kupangiwa kazi nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mashahidi mmejificha Jf hamuendi mahakamani, utuambie ni kwa nini basi kesi yake isifutwe?Uyu jamaa soon ataachiwa na kupangiwa kazi nyingine
Sabaya na genge lake hawashindwi kuwatishia amani kama walichofanya kwa waandishi wa habarimashahidi mmejificha Jf hamuendi mahakamani kwa nini isifutwe?
Mmmh!! Jamaa si yuko mahabusu?Sabaya na genge lake hawashindwi kuwatishia amani kama walichofanya kwa waandishi wa habari
Kazi ipi aliofanya? Au ile ya kuteka watu na kupokonya watu hela zao?hamna kesi hapo ni siasa chafu.
ushabiki mtupu.
ikija tena hakuna shahidi futilia mbali takataka ya kesi hii, mnamtaabisha mtu wa watu buree tu.
huyu DC alifanya kazi kubwa sana ktk wilaya ya Hai, nimefuatilia clips nyingi kafanya kazi ambazo zilimjengea maadui wengi zaidi; wafanya biashara, wanasiasa n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe na nyie ni madikteta tu kenge nyinyiTulia wewe mama, inatakiwa iwe hivyo hata miaka miwili. Hajamaliza hata miezi mi5 mshaanza kulalamika? Kuna waliokaa miaka 8
Si uzipeleke mahakamani?Zile pesa zimeanza kuonekana kazi yake.
Vipi CCTV zimepotea ?
Wewe usiyenunuliwa si uende ukatoe ushahidi mahakamani?Tayari kimeumana mashahidi wa kununuliwa wanaanza kuogopa hivi nyie mnaodanganywa kuunda ushahidi mahakamani sio pa mchezo ni moto hasa mtaumbuka mchana kweupe tena mapema kabisa.
Kweli kabisa Mataga hayajui hata mwenendo wa kesi,hayajui Rugemalira huu ni mwaka wa ngapi upelelezi haijakamilika mpaka sasaTulia wewe mama, inatakiwa iwe hivyo hata miaka miwili. Hajamaliza hata miezi mi5 mshaanza kulalamika? Kuna waliokaa miaka
swali la kijinga sana !anashindaje kesi wakati katiba na sheria zetu hazifai..?...au hazifai mkishindwa?
sasa si aachiweMAHAKAMA IMESHINDWA KUTHIBITISHA PASI NA SHAKA TUHUMA ZINAZOMKABILI OLE SABAYA ZA UJAMBAZI WA KUTUMIA SILAHA
swali la kijinga sana !
Mbona wenzake wamekaa miaka ndani bila ushahidihamna kesi hapo ni siasa chafu.
ushabiki mtupu.
ikija tena hakuna shahidi futilia mbali takataka ya kesi hii, mnamtaabisha mtu wa watu buree tu.
huyu DC alifanya kazi kubwa sana ktk wilaya ya Hai, nimefuatilia clips nyingi kafanya kazi ambazo zilimjengea maadui wengi zaidi; wafanya biashara, wanasiasa n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo bwana ako jambazi lazima tumfunge safari hiihamna kesi hapo ni siasa chafu.
ushabiki mtupu.
ikija tena hakuna shahidi futilia mbali takataka ya kesi hii, mnamtaabisha mtu wa watu buree tu.
huyu DC alifanya kazi kubwa sana ktk wilaya ya Hai, nimefuatilia clips nyingi kafanya kazi ambazo zilimjengea maadui wengi zaidi; wafanya biashara, wanasiasa n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha jizi walitatue marinda.hamna kesi hapo ni siasa chafu.
ushabiki mtupu.
ikija tena hakuna shahidi futilia mbali takataka ya kesi hii, mnamtaabisha mtu wa watu buree tu.
huyu DC alifanya kazi kubwa sana ktk wilaya ya Hai, nimefuatilia clips nyingi kafanya kazi ambazo zilimjengea maadui wengi zaidi; wafanya biashara, wanasiasa n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Na miti lazima wampige.Huyo bwana ako jambazi lazima tumfunge safari hii