"Arusha sio Tanzania"

kweli kabisa game over.....hapa tunanzania kila mtanzania anauwezo na haki ya kuishi popote ndani ya mikoa ya nchi yake sijui iwe arusha mwanzs ama kishumundu kote kote ukijikidhi unaishi hawa wengine wanaleta ukabila wakizamani wakati unaweza kuta demu wake mzalamo ama mzigua.....
 
Huko kwenye performance Itigi, Geita, Simiyu kuna nini zaidi ya dhiki zilizokithiri? Mikoa maskini zaidi Tz ni Shinyanga na Mwanza wakati mikoa tajiri ni Dar, Arusha na Kilimanjaro. Hii ni kwa mujibu wa serikali yako ya ccm
mbeya ni mkoa wa tatu kwa kuingiza kiasi kikubwa cha pato la taifa pia kuna iringa


1.DAR
2.MWANZA
3.Mbeya

hyo mingine ndyo inafuata
 
safi kabisa........baba mwenye nyumba mtanzania lakini anajiita mkenya je....mama mwenye nyumba mke wake siata likataa hadi jina la mme wake nakujiita odinga....hapo wamebugi aisee
 

Ahahaha tukiongelea Arusha kuna watu wanaumia sana. Karibu Arusha.
 
OK well, watu wa kaskazini wanatupangia cha kufanya sisi Wa Kusini, its ok then, njoo utupige.
umehama Kaskazini,
Sasa umekuja kusini..
You're the only problem here!
yaan huyo kaonyesha udhaifu eti mbeya nayo imesallender......pia na iringa....jamaa kaishiwa
 
But why?
Kwani tunashindana na hili?
Yaani mbeya wakichangia pato kubwa kuliko Arusha wewe shida yako nini?
Kufikiria kwa namna gani huku?
yaan huyu hajui .....anazani mbuga ipo arusha peke yake hajui kama mbuga kubwa ya wanyama tanzania ipo wapi....na hajui kama watalii hawaendi mbuga moja wanaenda sehemu tofauti tofauti ila nimegundua huyu jamaa ukabila unamsumbua inabidi ajirekebishe hata ukweli anaukataa
 
But why?
Kwani tunashindana na hili?
Yaani mbeya wakichangia pato kubwa kuliko Arusha wewe shida yako nini?
Kufikiria kwa namna gani huku?
Hivi huoni tangia jana unaniquote ila sikujibu chochote?

Sasa tafadhali sana, heshima yako kwangu usije ukaivunja..
 
Aliyekudanganya ni nani? Ebu weka hiyo link ya ulikotoa hichi unachosema..
yaani ww na ukubwa wako wote hauujui ukweli hadi kilimanjaro unataka uilinganishe na mkoa wa mbeya uingizaji wa pato kubwa kwa taifa......dah aisee unanisikitisha tatizo siyo lako nahisi ukabila umekutawala ....ukweli ndyo huo kaa ukijua.....hii ni nchi yetu sote achana na ukabila.......na uende ukagoogle utafute link za mikoa inayoliingizia taifa pato kubwa utaumbuka mwenyew
 
Mawazo yako yashindwe na yalegee na haitokuja tokea. Unafikiri Kenya atakubali kuwa landlocked?
Wewe una chuki yako na watu wa pwani basi tu. Tanzania si pwani ila pwani ni Tanzania!
usitoe povu sana man..kwan kuwa land locked ni dhambi? mbona uganda wako ivo na wanasurvive? tujaribu itapendeza sana real maana culture ya mombasa na tanga zinafanana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…