"Arusha sio Tanzania"

Source ni Jamii Forum.. Huna akili kweli wewe.. Weka link ya BOT hapa, hata mie naweza nikasema Mtwara inaongoza kwa kuchangia pato la taifa kuliko Dar.. Tatizo ni verified link sio blah blah
ujue unataka tubishane ujinga mpaka nitakudharau sasa yaan wew upo nchi hii na haujui chat za mikoa inayoiingizia pato kubwa taifa.....aisee unanisikitisha...
 
Dogo huna unachojua lakini unajitahidi sana kujifanya unajua angali hujui chochote.. Sasa nakupa tu infos zitakazokusaidia ili usiendelee kupumbazwa na wajinga wajinga..

Hizi ni data za TRA, sasa ili na wewe nikuone unaleta hoja basi niletee data yeyote ya serikali inayosema Mbeya au huko unakosema kunatoa pato kubwa kwa taifa kuliko kwingine. Usiniwekee maneno ya JF ambayo kimsingi hapa unaandika chochote unachojisikia kukiandika..

Mwaka 2014/15 na 2015/16 TRA walikusanya kodi kama ifuatavyo.. Sote tunajua kodi ndiyo main source ya pato la taifa..

Hapo sasa tofautisha ukusanyaji wa Mbeya, Mwanza, Iringa na Arusha na Kilimanjaro.. Kimsingi tu ukichukua pato la Mbeya + Iringa + Mwanza bado halifikii pato pekee la Arusha.. Pia ukichukua pato la Arusha na Kilimanjaro ni jumla ya pato lote la mikoa ya kanda ya ziwa jumlisha na Mbeya na Iringa..

Hii ni kwa mwaka 2016/17 ambao bado ukusanyaji unaendelea.. Hapa pia Arusha inaendelea kuzigalagaza Mbeya na Mwanza..

Sasa I challenge you uniletee data za BOT au kokote kule kwenye document au link ya verified government institution kusupport kile ambacho wewe ulikileta..
 
Hivi huoni tangia jana unaniquote ila sikujibu chochote?

Sasa tafadhali sana, heshima yako kwangu usije ukaivunja..
Hakuna Wa Kuvunja heshima yako, but only you,
Nitaquote kila comment ambayo ipo wrong,
Kama hizi zako,
Pole!
 
usitoe povu sana man..kwan kuwa land locked ni dhambi? mbona uganda wako ivo na wanasurvive? tujaribu itapendeza sana real maana culture ya mombasa na tanga zinafanana sana
Mwenyewe kama mtanzania ningesapoti tupewe pwani nzima ya Afrika Mashariki ila ukweli ni kwamba Kenyans value their coast kuliko Arusha kwani Arusha mnawapelekea nini mpaka wakubali kutoa pwani yao?
 
SHIDA IKO WAPI, mwenyewe umesema eti ni kama washington DC KULE mAREKANI
 
Mbaya zaidi tambo zao ni zile za primary school kids.
 
Acha ufala ww....umetembea mikoa mingapia ya Tz,nani kakuambia Nairobi ndo kipimo cha maendeleo...?
 
Sie Wana-kaskaz ndio maana tunapigwa vuta sana kwa kuwa tunaona mbali,sasa wale waona karibu wakisema watupe chanse tu hata ya niaka 5 tu wanajua hawatakubalika tena,sasa ninachobaki ni kuwachafua tu, na ikibidi waangamie. R.I.P EDWARD M SOKOINE
 
Yani mimi nikitoka nje ya Arusha wakati nikiwa narejea ile nikianza kuingia Arusha najiona tofauti kabisa.

Yani nahisi hata ile hewa ya kwetu ni tofauti na sehemu nyingine, una feel rejuvenated ukiwa arusha.
Kweli kabisa kiongozi hata mimi nikiwa Songea huwa najisikia hali tofauti na hali ya hewa ipo tofauti vyakula tofauti home sweet home.
 

Hiki kichaka tunakitafutia dawa....inaonekana kodi za mageti ya ngorongoro, tarangire, mt kilimanjaro nk yanakupa kiburi sana...vinginevyo pale arusha mjini hamna kitu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…