"Arusha sio Tanzania"

Hapana nafananisha jioni na usiku

Hakuna sehemu kama ARUSHA, wewe watokea wapi yakhee??? [emoji23]
Sure, Pamoja na kuwa Arusha ni Pazuri,
To me IRINGA is the best,
Hata hivyo, ukiona unatumia Nguvu nyingi kuwaaminisha wengine kuwa wewe ni bora kuliko wao ujue huenda sio kweli wewe ni Bora,
Kilicho bora hujidhihirisha chenyewe, Acha wengine Waseme wewe ni BORA,
Taifa kubwa Halijitangazi, Wote tutasema South Africa na Egypt ndio Nchi zilizoendelea zaidi Africa, (No doubt) ukipita kwenye forum zao Kama 'Mybroadband hautaona nyuzi za Majigambo,
Because its an Obvious.
 
Utamu wa Arusha Unaanzia Hapa Ngurudoto Hotel Aliyolala Rais wa Marekani Obama USA River Unga Limited Dah rush Jamani Kuzuri Mpaka Warembo yani ni wazuri
 
Arusha sio Tanzania, duh! Tangu jana naiona nashindwa kuchangia tu, kwani Tanzania ni kitu gani labda na kina sifa zipi? Arusha sio Tanzania, kiaje labda ukijani au hali ya hewa? Tutayatoa maeneo mengi, kama Mahenge, Tukuyu, Lushoto nk.

Labda kimaendeleo, kwahiyo Tanzania tafsiri yake ni umasikini sivyo? Kabla ya Arusha basi Dar es salaam si Tanzania. Au kwa lipi labda? Wengine wanasema, ni kenya kwa uchapa kazi kwakuwa imepakana na Kenya, kwahyo wakenya wote ni wachapakazi? Okay, na Kahama pia sio Tanzania, wanyantuzu wanachakalika vibaya sana na wanaijua pesa mchaga anasimama, yuko ktk idara zote, kuanzia utawala akina Chenge, madini, kilimo, ufugaji nk.

Tusijidharau, ndo maana hata masikini jirani wenu anatudharau. Hawana lolote la maana juu yetu, wanaijua hilo ndo maana wanajihami sana na dola letu.
 
Kujisifia na kusifia vya kwenu ni hulka tu.

Arusha na watu wake ni vya kipekee.
 
watu wa kaskazini kweli ni level nyingine in everything, acha ijitenge tu Iwe GENEVA of EAST AFRICA mikoa mingine inatuchelewesha sanaaa kufikia tunapotaka eti ubashite wa Dar uwe applied Arusha? sasa mkoa mpya kama simiyu utaiga nini Dar na Arusha vikifanana bora mkajenge dodoma ifanane na Dar Arusha na Kilimanjaro mziache zijitenge
 
kwahiyo wewe kuwapo kwa jengo hilo la mahakama ndo ume justify kuwa chuga sio TZ
ama kweli Tanzania tuna safari ndefu ya kimaendeleo.
 
Wengi wa wachangiaji hata hawajaelewa hii mada zaidi ya kuonyeshana tambo za kitoto.
 
Mbona povu mkuu [emoji23]

Sasa si uachane na mada hii uchangie zingine chief?
Vichwa vyenu watu wa arusha vina umwa homa ya ubaguzi na ukanda, inabidi mkatafute tiba.
Mtu mwenye akili timamu na ambaye ametembea duniani atawacheka sana na hoja zenu za kitoto.
Na hizo habari zenu za majivuno ziishie huko huko porini sio hapa JF sehemu yenye watu waelewa
 
Huu si ubaguzi mkuu, ni watu wanasifia maendeleo waliyoyafanya katika KANDA YAO

Nawe huzuiwi kupasifia kwenu...ilimradi tu isiwe sifa za uongo.
 
Hapana nafananisha jioni na usiku

Hakuna sehemu kama ARUSHA, wewe watokea wapi yakhee??? [emoji23]

Hahaha..kwani kwenda Las Vegas au Johanesburg wewe ulienda kwa kutembea?

Siku njema mkuu.

Kujisifia na kusifia vya kwenu ni hulka tu.

Arusha na watu wake ni vya kipekee.
Wewe utakuwa gasho sio bure, watu kama nyie ndio mnatakiwa mvalishwe jiwe la tani 5 na utupwe baharini ukaliwe tigo na mapapa na
Hizo hadithi zako za kitoto.
Tanzania huijui na hata arusha yenyewe huijui halafu unatuletea habari za kitoto hapa. Hivi unafikiri arusha ni hapa mjini pekee ambapo unapamaliza kwa miguu tu.
Je umewahi fika loliondo, karatu maporini, longido, samunge, nanja, makuyuni, mto wa mbu, ngarasero, engaruka, kigongoni, kikatiti, maji ya chai. Hayo maeneo ndio sehemu kubwa ya eneo la mkoa wa arusha umewaona maisha wanayoishi watu huko na mila zao?
Kwa hiyo acha ujinga kushabikia kitu ambacho haukijui.
 
Kuna kipi Arusha? Madini, National Parks, Conservation Area,
nadhani ni hivi ndio vinabeba mkoa kwa Ujumla,
Unfortunately, Hakuna lolote kati ya haya mtu wa Arusha alifanya juhudi haya yote kuwako.
Pili endelea kuota mkuu, haitatokea ujitenge popote,
Sahau kabisa na Ondoa hayo mawazo yako ya Kujitenga na piga kazi,
Nadhani hujasafiri sana Tz na Pia huenda Hujasafiri nje ya mipaka ya Nchi yako,
Ungekuwa walau una exposure ungejua Nchi yako Pamoja na Arusha yako tuna Safari ndefu.
 
Huu si ubaguzi mkuu, ni watu wanasifia maendeleo waliyoyafanya katika KANDA YAO

Nawe huzuiwi kupasifia kwenu...ilimradi tu isiwe sifa za uongo.
Huo ni ubaguzi tena usipopigwa vita utaleta shida sana, kuna kitu watu wa arusha huwa hamjielewi kwa kuiga wakenya, wakenya tayari walishabaguana kwa makabila na ukanda mda mrefu sana.
Hizo tabia zao za kibaguzi waachieni wakenya na muwaige mambo mazuri tu.
Inafika mda watu wa arusha mnaiga hadi namna wakenya wanavyoongea huwa inanisikitisha sana.
Tanzania ni nchi ambayo mikoa yote inafanana na tunategemeana hakuna mkoa ulio kamilika.
 
Ikiwa mimi ni Gasho basi Baba yako mzazi ndiye aliyenifunza

Lakini maajabu ni kwamba mama yako mzazi pamoja na kukutana na mimi siju zooote hajawahi kunotice hilo.

Badala yake huwa anasifia hogo msimamo mujarab.

Hakuna mahali kama Arusha, rudi Kolomije.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kekerenkedeee...kuwa makini usiseme neno UBAGUZI ama UKABILA, hayo ni maneno mazito yawezayo kukuweka ndani.

Hizi ni sifa za watu wa Arusha kusifia maendeleo yao.
 
Kweli kabisa, arusha, Kilimanjaro ziende kenya, Kagera uganda, mbeya Malawi
 
Kwahiyo la kujivunia ni kumlisha dagaa au kumchinjia kuku kisha kumfanyisha mikazi eeh...!
Ndio maana hamuwezi kuwa na akili kama wanakaskazini.

Born and bred kaskazini lakini hili la kulishana like there is no tomorrow sikubaliani nalo. Balanced diet inatosha. Na nani alisema dagaa na kuku sio chakula bora? Hivi unajua wamama wakiarusha/ wamaasai wanaambiwa wasinywe maji baada ya kujifungua.
 
huo ubaguzi utakuwa unauleta wew sasa. wakenya ubaguzi wao mwisho namanga, hilili, taveta uku ubinadam tu

Sent from my LG-H500 using JamiiForums mobile app
 

Naona tu unavyojitekenya unavyojitekenya na kucheka mwenyewe tu,
Umedhihirisha namna gani ulivyokuwa gasho.
arusha huijui na hata Tanzania yenyewe huijui umevimbiwa mamirungi na banana unatuletea habari za kitoto hapa.
arusha haina tofauti na mara, kagera, singida, rukwa, ruvuma yote mikoa ipo sawa tu, kwa mtu aliyetembea Tanzania na sehemu nyingine duniani atanielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…