mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,601
Kekerenkedee...wanakimbilia fursa ambazo washinda vibarazani na wapaka poda hamzioni yakhee...!
Ubaguzi utakumaliza gasho, naona unavyotoa mipasho kama umepakatwa na morani, hatari sana.Ndio maana Unajitambua, na Tayari una baraka tele.
Huwezi kuzaliwa hospitali ya Mt. Meru, Kaloleni, ALMC, au AICC ukafanana na wabwabwajaji laini wa Tandale au Mpanda.
Sawa, ila Baba yako muasisi wa magasho ni mkufunzi mzuri sana.gasho(punga) wa kijijini arusha katika ubora wako.
Pole sana gasho wa kijijini arusha.
arusha ni pakawaida sana hayo mawazo yako mfu na kibaguzi yatakumaliza.
Arusha ingekuwa part of kenya si ndiyo ukabila na mauwaji yangezidi? Wakenya hampendani kwa ukabila ndiyo maana mnataka kuuleta kwetu kwa uchocheaji. Wewe inabidi ukamatwe kwa uchocheaji na ukabila.Salaam bandugu.
Naam kama mada inavyosema, hivi karibuni nilipata nafasi adhimu ya kwenda kutembelea makao makuu ya Jumuiya yetu tukufu na pendwa, Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ilikuwa ni ziara ya kikazi.
Mara tukawa tunaelezewa kuhusu kazi za sekretarieti ya Jumuiya, na hapo ndipo kauli tata ya "Arusha sio Tanzania" ilipotamkwa.
"Katika kazi zetu kama Jumuiya ya Afrika Mashariki, hatuhesabu Arusha kama sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bali ni eneo la Jumuiya ya Afrika Mashariki au Federal Capital Territory.....kama Washington DC kule Marekani"
Hilo lilinifanya nitafakari ugumu wa kuanzishwa Jamhuri ya Shirikisho la Afrika Mashariki. Hivi ni watanzania wangapi watakubali Arusha imegwe na kuwa common territory ya EAC?
Below ni picha za jengo la EAC Arusha. Kuzuri hatari!
Ukumbi wa Bunge la Afrika Mashariki
Mahakama ya Afrika Mashariki
Hahahaaaaa mimi ni zao la Mt. Meru mkuu,very proud.Ndio maana Unajitambua, na Tayari una baraka tele.
Huwezi kuzaliwa hospitali ya Mt. Meru, Kaloleni, ALMC, au AICC ukafanana na wabwabwajaji laini wa Tandale au Mpanda.
Nani kakuuliza?Hata mimi najivunia kuwa mzaliwa wa Tanzania, maana ni nchi isiyo na ubaguzi, ukanda na ukabila.
Cha ajabu ni kwamba wanajivunia kuzaliwa maeneo yao halafu wanakimbilia Dar inashangaza sana
Big upArusha ingekuwa part of kenya si ndiyo ukabila na mauwaji yangezidi? Wakenya hampendani kwa ukabila ndiyo maana mnataka kuuleta kwetu kwa uchocheaji. Wewe inabidi ukamatwe kwa uchocheaji na ukabila.
Hauijui A townMji wa wavuta bangi
Punguani wahed... Kwahiyo na Dar unataka wasitambie bandari yao?
Unajua Utalii umeajiri na watu wangapi wamejiajiri kupitia kwayo? Hizo pesa zinazolipwa kodi ni faida tu ya makampuni ya kitalii na mahotel yaliyoko Arusha, hizo tozo za park wala si chochote si lolote..
Punguani wahed... Kwahiyo na Dar unataka wasitambie bandari yao?
Unajua Utalii umeajiri na watu wangapi wamejiajiri kupitia kwayo? Hizo pesa zinazolipwa kodi ni faida tu ya makampuni ya kitalii na mahotel yaliyoko Arusha, hizo tozo za park wala si chochote si lolote..
Pole gasho(punga) naifahamu arusha kuliko wewe gasho wa kijijini arusha.Sawa, ila Baba yako muasisi wa magasho ni mkufunzi mzuri sana.
Mama yako ndio anashangaza wengi kwa kuusifia hogo msimamo wangu.
Jaribu kumuuliza yakheee...!
Wewe uzaliwe kolomije au liwale uje kujifananisha na wazaliwa wa Arusha?
Hizo propaganda na mboyoyo zingine haziondoi ukweli.
Hakuna mahali kama Arusha, rudi kwenu ukalime tumbaku.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo hanifahamu vizuri halafu anatamani sana hogo la mtu wa kaskazini....hii mada imemuuma sana sijui kwanini?Nani kakuuliza?
Hahahaaaaa mimi ni zao la Mt. Meru mkuu,very proud.
Pole sana, wadada wenzako wengi wa arusha wamejazana kujiuza jijini Dar kwenye ma guest, bar, madanguro.Nani kakuuliza?
Achana nae mkuu.Huyo hanifahamu vizuri halafu anatamani sana hogo la mtu wa kaskazini....hii mada imemuuma sana sijui kwanini?
Sasa hogo atumie mama yake mzazi naye analihitaji eti...[emoji23] [emoji23] [emoji1]
Amebakia kutunga mboyoyo tu.
So what? By the way, who cares kama wewe ni zao la Mt. Meru? What an idiot!Hahahaaaaa mimi ni zao la Mt. Meru mkuu,very proud.
Hahaha...kuniita gasho hakuondoi ukweli kuwa :-Gasho a.k.a punga wa kijijini arusha, pole sana.
Umekosea njia leo.
arusha pakawaida sana.
Ubaguzi utakumaliza punga wewe
Very silly and ignorant woman!Nani kakuuliza?
Nenda kakomboe wadada wenzako wa arusha waliojazana hapa Dar wanajiuza kama wamechanganyikiwa akili.Achana nae mkuu.
Very silly and ignorant woman!
Pole shoga a.k.a punga wa kijijini arusha.Hahaha...kuniita gasho hakuondoi ukweli kuwa :-
Arusha ni pa kipekee...kwa Wafanya kazi, Wapenda kwao, Wanaojitambua.
Sio Wapaka poda, Mashoga, washinda vibarazani na Marioo.
Mama yako mzazi haishi kusifia hili hogo...sasa wewe kutaka kushare naye atakuachia laana wewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1]