"Arusha sio Tanzania"

hao pimbi ni kawaida yao,arusha ikisifiwa tu huwa wanakuja kutoa povu kwamba mada inahusu ukabila,cha kushangaza wao pia huwa wanasifia kwao lakn watu tunanyamaza tu.
Asante sana hommie. Kiukweli nilibaki mdomo wazi kwa upuuzi nilioukuta hapa.
Kisa tu nilisema mimi ni mzaliwa wa Arusha niliporomoshewa matusi ya nguoni.
Sasa mtu kusema kazaliwa Arusha ni kosa?
Kuna watu wanaharibu maana ya JF,kutoka kwenye mijadala ya hoja hadi matusi.

Sijui kwanini mods wanaentertain hii hali,nashangaa sana.
JF imekuwa kama kijiwe cha walevi!
 
Inaanzia Tanga-Manyara,nimekujibu lkn sijaelewa msingi wa swali lako.
Dah.........Tanga, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Same, Moshi, Rombo,Machame, Marangu, Mtui, Lyimo, Massawe, Urio..............😀😀😀😀😀
''Dhambi ya ubaguzi haiishi'' - JK Nyerere
 
Mleta mada anazungumzia uzuri na upeo wa watu wa Arusha . . Hata kisiasa, anasema hawa ni watu wanao jitambua zaidi . .

Haya unayoandika wewe ni porojo zako tuu . . , hakuna hoja kabisa, labda una chuki binafsi nae . .
 
Mkoa uliotusua Tanzania ni Kilimanjaro, watu wa klm ndio wamejenga Arusha na miji yote muhimu.

Nakataa hoja kwamba Arusha sio Tanzania kwa mara nyingine tena.

Nasisitiza Arusha ni Tanzania
Huna haja ya kufanya mashindano ya kitoto . . , inajulikana Arusha iko wapi . .
 
Hapo umewaweza kweli kweli, maana baadhi ya wachaga majidai yamezidi mpaka kichefuchefu!
 
Acha ujinga wee dogo . . , kusifia Kask ni kuendeleza ukabila . . ? Kwanza unajua idadi ya makabila yaliyoko Kask . . ?!

Kaskazini kuna makabila mengi tuu, kuna Wamasai, Wameru, Wambulu, Waarusha, Wachagga, Wapare . .
Hawa ni Watanzania, ila kinachosifiwa hapa ni weledi wao, uchapa kazi wao, maendeleo wanayofanya . . , tena kila kona ya Nchi hii .
Sasa kuna ubaya gani kusifu Watanzania wenzako wanao onyesha mfano wa kuigwa ktk maendeleo na elimu . . ?!

Acheni wivu wa kijinga . .
 
Nipo Arusha Florida 2000 tunacheza hadi asubuhi, patamu hapa kama kuna WanaJF maeneo haya usiku wa leo tukutane kwenye PM tujuane na kukutana ili tucheze na kuburudika wote.
Vp umeshaondoka A town? Niko galaxy hapa jiran na Kwa sunda
 
Yeah tunapapenda pia kweli kweli hata USA haina maana kila sehemu ni maghorofa zipo sehemu za kawaida.
Trust me wenyeji kwenye hizi nyumba hapo huwezi ends wahonga vitenge au buku 7 katu.
Je unajua heshima ya mbegge?
Haaa haa usitokwe povu mkuu hio ni Tanzania na sio pengine.
 
Inakuuma ukiwa mmoja wa mzaramo eeh?
Tumechangia karibia 57% ya maendeleo hayo acha ubishi
 
Kawaida ya makolomije ambao wazee wao waliishia kuzaa tu na kucheza bao.

Wasikutishe hommie....!
 
Nipo Arusha Florida 2000 tunacheza hadi asubuhi, patamu hapa kama kuna WanaJF maeneo haya usiku wa leo tukutane kwenye PM tujuane na kukutana ili tucheze na kuburudika wote.
Hahaha...haya maneno yanaumiza washamba washamba wa huko kolomijeni [emoji23]

I wish I could be there ningejoin hapo Florida.
 
Vp umeshaondoka A town? Niko galaxy hapa jiran na Kwa sunda

Jameni nimeondoka mkuu nikiwa hoi hata kutembea noma, tumecheza kwaito na aina nyingi za muziki ukiwemo ule wa Kigoma all stars. Yaani nimetua Nairobi kama sina nguvu, Arusha hapo balaa, yaani raha tu mpaka basi. Nikija tena nitakushtua inbox tuserebuke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…