Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Chama cha Waandishi wa Habari Arusha(APC) wamelaani vitendo vya watu wasiojulikana kuwatisha waandishi wanaoandika habari za Lengai Ole Sabaya
Watu hao wamekuwa wakiwatisha waandishi kwa simu kuwaonya juu ya namna wanvyoripoti muendelezo wa kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai
Hivi karibuni kuna muandishi amefuatwa zaidi ya mara tano nyumbani kwake na watu hao ambao nia yao haijajulikana.