Arusha: Waandishi wanaoripoti habari za Mahakamani za Sabaya Wanatishiwa Maisha. APC Walaani

Arusha: Waandishi wanaoripoti habari za Mahakamani za Sabaya Wanatishiwa Maisha. APC Walaani

Hii ni dalili mbaya sana, hao watu wasiojulikana inaonekana sasa wameshaota mizizi, na huyo Sabaya analindwa kwa maslahi ya nani, hii inazidi kuthibitisha yale mashtaka dhidi ya Sabaya yanawahusu wengi huko CCM zaidi yake, kwani alikuwa kazini kukinufaisha chama chake, ndio maana Mbowe kila mara anawataka CCM waombe radhi.
 
kwani hawana habari zingine za kuandika na kutangaza ni Sabaya Sabaya...

kwani gerezani yuko peke yake ?

waache ujinga
 
Jamaa hata kesi bado aina ahueni washaanza kutisha wengine si wanazidi kumponza mwenzao sasa.
 
Hii ni dalili mbaya kabisa, hao watu wasiojulikana inaonekana sasa wameshaota mizizi, na huyo Sabaya analindwa kwa maslahi ya nani, hii inazidi kuthibitisha yale mashtaka dhidi ya Sabaya yanawahusu wengi huko CCM zaidi yake, kwani alikuwa kazini kukinufaisha chama chake, ndio maana Mbowe kila mara anawataka CCM waombe radhi.
Kitu alichokuwa amefanya huyo Sabaya ni kuhukuwa wale wahuni wa Arusha na maeneo ya karibu halafu akawa anawapa pocket money ili wamsaidie kufanya ukatili. Sasa hao ndiyo wamebaki mitaani na wanajaribu kumtetea pay master wao. Tukumbuke alikuwa amechukuwa na watu waliochanganyikiwa kama yule tapeli anayejiita sijui Mashimo ili kutekeleza ukatili.
 
kwani hawana habari zingine za kuandika na kutangaza ni Sabaya Sabaya...

kwani gerezani yuko peke yake ?

waache ujinga
Lile ni jambazi kuu lazima habari zake zitangazwe na kila mtu,

Na hao wanaotishia watu maisha dawa yao inachemka, DCI inabidi aimbe nao haraka ,,huu utawala mwingine sio wa yule dikteta muuaji
 
Chama cha Waandishi wa Habari Arusha(APC) wamelaani vitendo vya watu wasiojulikana kuwatisha waandishi wanaoandika habari za Lengai Ole Sabaya

Watu hao wamekuwa wakiwatisha waandishi kwa simu kuwaonya juu ya namna wanvyoripoti muendelezo wa kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai

Hivi karibuni kuna muandishi amefuatwa zaidi ya mara tano nyumbani kwake na watu hao ambao nia yao haijajulikana
View attachment 1826806
Kumbe hawajakoma bado?
 
Mwandishi wa barua anaomba teuzi, kaona kasahaulika. Siamini kitu kama hicho zaidi ya mkakati wao tu kuenfluence maamuzi ya mahakama.
Eti mtu kaenda nyumbani kwa mtu mara Tano!! Kwanza ili iweje? Acheni majungu.
Wale wote watakaoshiriki michezo hiyo haramu karma haitawaacha.
 
Kuna haja ya jeshi la polisi kufanya usafi Arusha na Kilimanjaro. Hao wahuni wa awamu ya tano wanapaswa kufagiliwa nje woote.
Pumbavu,
Kwani kumtisha mwandishi wa habari ni hadi uwe unafanya kazi serikalini?
 
Back
Top Bottom