Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
I ❤️ you always.Alichelewa kupelekwa japo nimedokezwa Juhudi zinafanyika sasa huyo Mganga amsaidie.
Na ndiyo Mganga huyo huyo aliyemsaidia Fisadi Nyangumi wa Bandari mwenye Jina la Kitoweo cha Baharini hadi Kesi yake ikayeyuka Kimiujiza na sasa yuko Huru.
Kilichofanyika alipokuwa Rumande aliombwa Nguo zake kisha zikapelekwa upesi kwa huyo Mganga ambapo alizifanyia Ndumba kisha akaenda Kuzitupa katikati ya Bahari ya Hindi.
Kesho yake akatumwa Ndugu yake na Mtuhumiwa na Mganga Msaidizi kwenda eneo zilipotupwa zile Nguo ambapo kuna Nguo ( Shati na Suruali ) zilikutwa zimeelea juu ndipo zikachukuliwa na Kuamriwa kuwa Siku zote za Kusikilizwa Kesi yake na ya Hukumu awe anazivaa tu hizo Nguo na kweli alikuwa anazivaa hizo hizo tu hadi Kesi yake ilipoyeyuka na Kumalizika Kimaajabu.
Na ndiyo Mganga huyu huyu hivi sasa anatumiwa na Kiongozi Mmoja wa Mkoa wa Dar es Salaam na Dada Mmoja ( Mgeni ) wa temeke a.k.a Miss Ushoroba ili Pesa alizopiga na Ole Sabaya zisije Kumletea matatizo.
Pia Mganga huyo huyo anatumiwa na Mawaziri wenu Wawili wa kutokea Ukanda huo huo.
Na ndiyo Mganga huyo huyo pamoja na Kiongozi Mmoja wa Dini Moja Kubwa nchini waliisaidia Klabu yangu ya Simba SC Kumfunga Kaizer Chiefs FC 'kwa Mkapa' na ndiyo huyo huyo ataenda Kuimaliza Yanga SC tarehe 3 July, 2021 ikicheza na Simba SC.
Naomba niishie hapa tafadhali Mkuu.