Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mataga ya regasi yanahangaika mnoChama cha Waandishi wa Habari Arusha(APC) wamelaani vitendo vya watu wasiojulikana kuwatisha waandishi wanaoandika habari za Lengai Ole Sabaya
Watu hao wamekuwa wakiwatisha waandishi kwa simu kuwaonya juu ya namna wanvyoripoti muendelezo wa kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai
Hivi karibuni kuna muandishi amefuatwa zaidi ya mara tano nyumbani kwake na watu hao ambao nia yao haijajulikana
View attachment 1826806
Wakamatwe wapuuzi wakubwa haoNi vema wakafuatiliwa huenda ni mabounsa wa Sabaya ambao ameshirikiana nao kuwapora wananchi!
Kweli kabisa.
100%Inaonekana ndio Hawa ambao wapo kwenye mitandao kutwa kuweka post za kumtetea
ππΎKuna haja ya jeshi la polisi kufanya usafi Arusha na Kilimanjaro. Hao wahuni wa awamu ya tano wanapaswa kufagiliwa nje woote.π
Nyingine ni fitina tu, nothing more.Awamu imeshapita....tukubali tu.ππΎ