Arusha: Waandishi wanaoripoti habari za Mahakamani za Sabaya Wanatishiwa Maisha. APC Walaani

I ❤️ you always.
 
Sabaya kama pweza vile ,anajipalia mkaa kwa kuagiza wahuni kutisha waaandishi wa habari. Mvua moja zaidi kwa vitisho.
 
Daya ya moto ni moto nyie si mnatumika acha nao watumwe kuwapeni chai ukitumika jiandae pia kwa yatokanayo
 
Kwa hilo la Julai 3, kwa mamlaka niliyojipa mwenyewe nasema mitano tena kwa mganga mtakatifu
 
Kuna waandishi wanakuwaga na kimuhe muhe. Hawajui majukumu yao vizuri.

Wanaweza wakaandika Sabaya kaliwa usiku wa leo.

Kumbukeni Sabaya nae ana wafuasi hadi ndani ya deep state. Msichukulie poa. Na ana ndugu na familia pia.

Waandishi waandike kwa kufuata taaluma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…