Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Kwa wiki nzima imetokea hali ya taharuki katika jiji la Arusha liliwaacha watu midomo wazi ,Baada ya Mwanaume mmoja kufumwa akiwa amenasiana na mke watu wakiwa wanafanya mapenzi alfajiri katika soko kubwa la vyakula la kilombero lililopo katikati ya jiji.
Wafanyabiashara wa soko hilo wanaeleza ya Kuwa baada ya kushindwa kunasuana walipelekwa kituo cha afya cha levolosi iliyopo karibu na soko hilo lakini walishindwa na kupelekwa Mount Meru ambapo Mume wawanamke huyo alipigiwa simu na kudai million 3 ndipo awaachanishe, .
Mashuhuuda sokoni hapo ambao ni wafanyabiashara wenzao wa naendelea kueleza kuwa baada ya jamaa kukubali kutoa hicho kiasi walifanikiwa kunasuana na kurudi katika hali ya kawaida.