Arusha: Wananchi walia na kituo cha mabasi makubwa ya abiria ya kwenda mikoani

Watakuambia walitengwa na utawala wa awamu ya tano! Wenzao kila kona stendi nzuri Morogoro,Dar,dodoma,singida,mwanza wanajenga mbili moja imekamilika na ya pili iko njiani kukamilika! Pia stendi ya Mabasi Mbeya ya ajabu ajabu hata siielewi! Hawa wana Mbeya wanamambo mengi vitendo zero!
 
Hahahahah itakuwa kama Dodoma stand zimekaa nje ya mji😅
 
Nani aliwaambia stendi ya mabasi ya mkoani ni lazima ikae katikati ya mji? Stendi kuu inapaswa kukaa nje ya mji kupunguza msongamano katikati ya mji, kupanua ukuaji wa mji nk.
 
Umeongea kwa weled sana changamoto ni waTu hasa matajiri wakisikia stend inajengwa mahali hukimbilia huko kwenda kununua maeneo hayo ili fidia iangukie mikononi mwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuwa na stendi ngapi? Na wale ambao wanaunganisha safari itakuwaje? Ashuke apande daldala then aende stendi nyingine?
 
Reactions: Tui
Kwanza lile eneo la azimio lilikua makazi ya wanajeshi linamilikiwa na nani?na lina matumizi gani?pale pangefaa kujengwa stendi kubwa ya kisasa ambayo ingehudumia mabasi ya njia zote.
 
Ushauri mbovu sana huu. Kwa hiyo mtu anayetoka moshi kwrnda karatu, ashukie USA apande dala dala mbili hadi kisongo ili apande gari la kwenda karatu? Maana kubwa ya kuwa na stand kuu ni kurahisisha pia connection.
Nilimaanisha Moshi road... yanaweza kuwa yametoka Tanga, Dar, Mombasa, nk.
Sidhani kama kuweka stendi sehemu ina maana magari yote yaishie pale.
Kwani Dar na Mwanza wanafanyeje??
Zinaweza kuwepo daladala za ruti ndefu na basi za kuunga kutoka Moshi Babati/Karatu n.k
Ukitaka maendeleo na mji upanuke kwa haraka fanya maamuzi ya kupeleka huduma mbali mbali za kijamii.
Urahisi wa connection ni nadharia pana sana na tofauti kwa kila mtu.
Changamoto zitajitokeza lakini binadamu yupo kuzitatua... Usiogope!!
 
Pale pashapitwa na mahitaji makubwa ya sasa!
Kwanza lile eneo la azimio lilikua makazi ya wanajeshi linamilikiwa na nani?na lina matumizi gani?pale pangefaa kujengwa stendi kubwa ya kisasa ambayo ingehudumia mabasi ya njia zote.
 
Lengo ni kurahishisha ukuaji wa mji.
Najua wengi wa Arusha wanaogopa umbali. But kwingineko tushazoea unataka kwenda Mukuranga, Lindi, Mtwara ni lazima ufike Mbagala inakuhusu.
Na mgeni akifika Mbagala basi hataki tena kusogea unless awe na shida za msingi mjini kati.
Msilundike miundombinu kama njiti kwenye boksi la kiberiti. Kuna hatari.
 
Wengi hawatakuelewa lakini Arusha inakuwa kwa kasi ya chini sana. Itapitwa na senta nyingi sana.
Arusha ndio mnataka kuifananisha na Mwanza kweli?

Arusha inapambana na miji kama Musoma, Geita, Katoro, nk. Kahama sasa sio level za Arusha tena.

Soon senta kama Kagongwa ama Runzewe zinaipita Arusha.
 
Hpn ibaki tu Apo Sana Sana ipelekwe tengeru kwa zinazokwenda dar na zinazokwenda ddm ziwe kisongo

Standi isiwe mbali na mjini Kama ya iringa na ddm stand
Ila ya zamani ibaki pia Kam reserve paking
 
Salute Mingi sana Mkuu...
 
Hpn ibaki tu Apo Sana Sana ipelekwe tengeru kwa zinazokwenda dar na zinazokwenda ddm ziwe kisongo

Standi isiwe mbali na mjini Kama ya iringa na ddm stand
Ila ya zamani ibaki pia Kam reserve paking
Hiyo stand ya mabasi ni ndogo sana, isitoshe Costa za Moshi zinapaki hapo hapo na bado hazitoshi.
Hiyo stand ipo hapo hata kabla ya uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…