Arusha: Wanne wadaiwa kufariki dunia baada ya Noah kusombwa na maji ikijaribu kuvuka barabara iliyofunikwa na maji

Arusha: Wanne wadaiwa kufariki dunia baada ya Noah kusombwa na maji ikijaribu kuvuka barabara iliyofunikwa na maji

ukiangalia vizuri kilichotokea unaweza usimlaumu yule jamaa aka marehemu.

Ile gari Noah ilikuwa kwenye foleni ya magari mengine na yote yaliyokuwa mbele madogo tu kama lake yaliweza kupita ikiwepo RAV4, nafikiri hili lilimpa ujasiri wa cross kwa kupima na macho na kuona anaweza kupita.

Mamlaka kuanzia RTO, Tanroads, RPC nk wanahusika na hivi vifo kwa kutokuwa na road patrol hasa kwenye highways wakati tu inapoanza mvua kubwa, lengo ni kuchunguza hali ya barabara kitalaam na haraka kuweka vizuizi kuzuia matumizi ya barabara na hata kutoa tahadhari wakati wote.

Mwenyezi Mungu wamesamehe dhambi zao marehemu na kuwaondolea adhabu kabri ndugu zetu wale.
 
Inasikitisha mno kwa ajali kama hii ambayo ingeweza kuzuilika,ila RPC &RTO wa mkoa huu hii ajali ni uzembe wenu, why hamkuweka kizuizi pale ili kuhakikisha hakuna gari inayopita pale?,why hamkutuma traffic officer's ili waweke road block pale?,na msinijibu kuwa hakuna officer's wa kutosha, juzi kati nilihesabu check points kati ya Dar na Moro, na maafisa wanaozisimamia, 15checkbpoints, 30officials!! hii ni craze
Traffic wengi wa Arusha na Moshi Huwa wako busy na rushwa tu hata ka huna kosa lazima utoe tu, so hi mvua inaonyesha hawakutoka
 
Traffic wengi wa Arusha na Moshi Huwa wako busy na rushwa tu hata ka huna kosa lazima utoe tu, so hi mvua inaonyesha hawakutoka
Inasikitisha mno ,sasa utawasikia RPC &RTO wake wakija na blah blah blah ,na mazuzu watatingisha vichwa vyao kwa kuafiki, na watu wanasahau na ku move on, RTO ilitakiwa awe ameshajiuzuru kwa scandal hii
 
Ila jamaa amepona yeye hajafa,bali mke wake na ndugu wengine ndo wamekufa na kuna ambaye hajapatikana
 
Back
Top Bottom