Mkuu upo hapa ilboru nini
Unapopita juu ya maji hakikisha unapunguza upepo kwenye magurudumu
Mpumbavu hapaswi onewa hurumaWalishakatazwa kupita wakakaidi
Hao wenye noah walikuwa wanaenda
Kwenye mahafali
Ova
Traffic wengi wa Arusha na Moshi Huwa wako busy na rushwa tu hata ka huna kosa lazima utoe tu, so hi mvua inaonyesha hawakutokaInasikitisha mno kwa ajali kama hii ambayo ingeweza kuzuilika,ila RPC &RTO wa mkoa huu hii ajali ni uzembe wenu, why hamkuweka kizuizi pale ili kuhakikisha hakuna gari inayopita pale?,why hamkutuma traffic officer's ili waweke road block pale?,na msinijibu kuwa hakuna officer's wa kutosha, juzi kati nilihesabu check points kati ya Dar na Moro, na maafisa wanaozisimamia, 15checkbpoints, 30officials!! hii ni craze
Inasikitisha mno ,sasa utawasikia RPC &RTO wake wakija na blah blah blah ,na mazuzu watatingisha vichwa vyao kwa kuafiki, na watu wanasahau na ku move on, RTO ilitakiwa awe ameshajiuzuru kwa scandal hiiTraffic wengi wa Arusha na Moshi Huwa wako busy na rushwa tu hata ka huna kosa lazima utoe tu, so hi mvua inaonyesha hawakutoka
Usalama wowote unaanzia na wewe mwenyeweInasikitisha mno ,sasa utawasikia RPC &RTO wake wakija na blah blah blah ,na mazuzu watatingisha vichwa vyao kwa kuafiki, na watu wanasahau na ku move on, RTO ilitakiwa awe ameshajiuzuru kwa scandal hii
Ila kweli huyu mdogo wa MackenzieMdogo wake pastor Mackenzie!
RIP Family[emoji24][emoji24][emoji24]
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Sikushangai kabisa, nadhani ungekua upo GABS ukituwakilisha kwenye under 30 Forbes!Usalama wowote unaanzia na wewe mwenyewe
Ova
Aisee pole sanaDah! Yani huyu baba mwenye familia ni juzi tu kuamkia jana nilikuwa nae