Arusha: Wanne wadaiwa kufariki dunia baada ya Noah kusombwa na maji ikijaribu kuvuka barabara iliyofunikwa na maji

Hapana mkuu,ajali kama hii ilishatokea huko nyuma handeni mbona hawa hawakujifunza na wao pia walikuwa na noah na walikuwa wanaenda kwenye mahafali pia.
Noah ni light vehicle, maji yakishaizisi urefi kidogo inapelekwa mtoni.
Imewahi nitoa hapa hapa Dsm
 
Labda niseme tu kwamba hii chanzo cha ajali ni accidentally kwa taarifa niliyopewa na shuhuda aliyeona jinsi ajali inatokea live.

Hii ni ajali ambayo gari iliteleza yaani ilislide along the road side alafu baada ya hapo ikapelekwa na mkondo wa maji uliokuwa kasi kwenye mtaro na sio barabarani....

Ajali hii haikutegemewa kama wengi wanavo comment hapo juu, gari mbona zilipita hapo nazilikuwa foleni.
 
majira ya saa mbili na dakika arobaini asubuhi wakati dereva wa gari hilo Naimani Metili ambae ndio baba akiwa na abiria watano wakielekea katika mahafali ya mtoto wao Moshi.
ile ya mwaka juzi Korogwe Tanga na yenyewe walikua wakielekea kwenye Mahafali ya Binti yao Korogwe Girls na yenyewe ilikua Noah
 
lile eneo ni hatari sana kipindi hiki cha mvua week kama mbili nyuma nilipata changamoto pale na nililiongelea hapa jf
 
Uzembe ni wa baba/dereva, usiwarushie lawama RPC & RTO, hapo ni common sense tu, mtu unaona maji yanapita kwa kasi, na ni hatari kwanini wasisubiri maji yapungue?? Kwani wasipoenda kwenye mahafali huyo mtoto atadhurika??Uzembe wa madereva wa bongo ni zaidi ya uzembe; utasema akili zao zipo matakoni. Sio kila kitu mnawarushia polisi, nao ni binadamu na wana familia zinazowategemea, na nyie wenyewe madereva muwajibike ...Miafrika ndivyo ilivyo.
 
Tujifunze kutegemea akili zetu kwanza kabla ya kuanza kutegemea akili za viongozi kama rpc na rto
 
Traffic wengi wa Arusha na Moshi Huwa wako busy na rushwa tu hata ka huna kosa lazima utoe tu, so hi mvua inaonyesha hawakutoka

ni kweli ata kama huna kosa wanakubia naomba ya kahawa yani ata kama unapita iyo barabara kula siku.
 
Wangeghairi tu yale maji unaona kabisa yalikua na nguvu kiasi huwezi kuvuka pale.
Anyway mungu awalaze wanapostahili.
Mi siku hiyo ndg yangu alinialika nikale pilau la Eid Nyumbani kwake,na mvua ilkua kubwa sana,nikachomoa kutoka home na familia, na wife akauungulumisha pilau letu Nyumbani! Somo! "Tujifunze kusoma alama za nyakati pia japokua kuna majukumu yanatakiwa yafanyike"!!
 
Pumba tupu...hapo ni uzembe wa dereva tu. Wangekatisha hio safari tu, kwani kukosa mahafali ni dhambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…