Arusha: Wanne wadaiwa kufariki dunia baada ya Noah kusombwa na maji ikijaribu kuvuka barabara iliyofunikwa na maji

Arusha: Wanne wadaiwa kufariki dunia baada ya Noah kusombwa na maji ikijaribu kuvuka barabara iliyofunikwa na maji

Sasa huyu nae ki gari cha kilo 1500 ana kupitisha kwenye maji yanayo enda kwa speed ..afu kwenye iyo video ina onesha Ali enda kwenye kingo kabsa
Hakufirikia kwa makini nadhani baada ya kuona wenzie wamepita. Hili ni funzo kwetu sote
 
Back
Top Bottom