Arusha: Wazazi Shule ya St. Jude waandamana kwa RC, TRA yakausha akaunti ya shule

Arusha: Wazazi Shule ya St. Jude waandamana kwa RC, TRA yakausha akaunti ya shule

Kati ya wanafunz wote hapo shuleni 5% ndo wa maskini kwa ajili ya kuzugia wanaobaki wazaz Wana kipato kizuri tu. Ukiuliza majirani wanaozunguka hiyo shule ndo utabaki mdomo wazi nanna uongozi wa shule wanavyotaabisha hao maskini.
 
Wazazi Maskini zaidi ya 2000 ambao watoto wao wanafadhiliwa kimasomo katika shule ya St. Jude iliyopo Arumeru Mkoa wa Arusha, wameandamana Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha wakitaka shule hiyo yenye mchepuo wa Kiingereza ifunguliwe ili Watoto wao waliosimamishwa masomo kwa zaidi ya wiki mbili waweze kuendelea na masomo.

Wazazi hao wamedai kwamba mamlaka ya mapato Tanzania TRA imekausha akaunti yao kwa kuchota fedha zote zilizokuwa kwenye akaunti ya shule kwa madai kwamba shule hiyo haijalipa kodi ya Serikali kwa muda mrefu na hivyo uongozi wa shule hiyo kulazimika kuwasimamisha masomo Wanafunzi kwa kushindwa kujiendesha baada ya fedha zilizopo kwenye akaunti kuchukuliwa na TRA.

View attachment 1638958View attachment 1638959
Hii issue ilianza kuvuma tarehe 5 Nov 2020, kwamba TRA imeipelekea shule deni la 6B baada ya mkurugenzi wa St Jude kugoma kuruhusu wafanyakazi na wanafunzi kwenda kujaza uwanja siku ya mkutano wa kampeni wa Meko Arusha. Hii ni shule ambayo ni ukweli usiofichika ilikuwa inasaidia watoto wa maskini, nakumbuka miaka fulani nikiwa Arusha walikuwa wana utaratibu wa kufanya mtihani jumatano ya kila wiki, endapo mwanao atafaulu lazima waje nyumbani wakikuta una kiti cha kochi na Tv tu basi mwanao hachukuliwi.
 
Kati ya wanafunz wote hapo shuleni 5% ndo wa maskini kwa ajili ya kuzugia wanaobaki wazaz Wana kipato kizuri tu. Ukiuliza majirani wanaozunguka hiyo shule ndo utabaki mdomo wazi nanna uongozi wa shule wanavyotaabisha hao maskini.
mjinga wewe huijui st Jude lakini sawa Baraza la TEC na rais wao alisema tume wanaiamini inafanya kazi nzuri kauli ya Padre Kitima na na Askofu Nyaisonga kada kindaki ndaki wa kijani walipe tu wangekemea tume mambo yasingekuwa kama ilivyo leo
 
TRA hawawezi kukupa deni ambalo huna
 
Hii nchi wajanja wengi, labda mabeberu wameamua kupitisha hela za "kulipa waandamanaji" kwenye akaunti za shule kwa mgongo wa misaada!
 
hii shule mgogoro na TRA ulianza wakat ule magufuli amekuja arusha kuhudhuria kusimikwa kwa Askofu wa Katoliki..askofu aliomba shule ifutiwe madeni..magufuli akasema nimeambiwa kuna kesi kwa hiyo sowwz ingilia mahakama..magakama ikaamua pesa ilipwe..nasikia shule ikalipa..bado wakaendelea kudaiwa mikodi kibao..had kufunga akaunt na mwisho wamezihamisha..watoto wote wanasoma bure asilimia 100..serikali ikae na uongoz wa shule waone namna ya kuwasaidia watoto..
acha wakomeshwe Tec wamekuwa waunga juhudi sana walipe kutoka mfuko wao
 
Nilikuwepo kwenye hyo misa
Vicar General alisema shule inategemea mapato yake kutoka kw wafadhili wa Australia. Na hakuna mwanafunzi anaelipa ada, ni kwa ajili tu ya kusaidia watoto wanaotoka familia za kipato cha chini
Asa sijui kwa nn hadi misaada inatozwa kodi, wakati hamna faida wanayopata
mpaka waache kuunga juhudi sasa hivi kila askofu wa Tec kigelegele mitano tena walipe tu
 
TRA hawawezi kukupa deni ambalo huna
WEE unaongea nini rafiki tafuta clip za yule mfanya biashara wa kariakoo ambaye mzigo wake ulikamatwa kimara ukiwa na document zote na kilichofuata nini, pamoja na jamaa kuwa smart na kukusanya ushahidi wa wazi kuwa alibambikwa deni, na akarekodi mpaka mazunguzo ya mtu aliyefanya huo mpango. Matokeo duka likafungwa na likiwa limefungwa watu wakalamba mzigo wote. Kesi imeenda mpaka kwa Rais na akatoa maagizo alipwe lakini mpaka leo ni dana dana, labda TRA ya Kenya si Tanzania japo Kenya hamna TRA. Ikiwa walikuwa wanadaiwa mbona baada ya ubalozi wa Austraria kumpigia simu Rais, ameamulu shule ifunguliwe na accaount ziachiliwe
 
Ok nimekuelewa
 
mjinga wewe huijui st Jude lakini sawa Baraza la TEC na rais wao alisema tume wanaiamini inafanya kazi nzuri kauli ya Padre Kitima na na Askofu Nyaisonga kada kindaki ndaki wa kijani walipe tu wangekemea tume mambo yasingekuwa kama ilivyo leo
Mjinga ni ww usiejua bure ni ghali. Mtihani wa tar 28/11/2020 unajua wanafunz na wazaz wao kutoka mkoa wa Manyara tu walivyotaabika wakinyeshewa mvua kama hayawani hapo shuleni!? Huku wakichukua video za kuombea misaada kwa hao wazungu?
 
Mbona Kama ni wazazi wa wilaya nzima wamepunguziwa mzigo wa kusomesha, hao wametumika tu hasa muonekano wao upo wazi kwamba hawashindwi kusomesha watoto shule za serikali, Ila naona hicho kingereza kinamata sana naomba shule za serikali nazo zifundishe tu hiyo lugha masomo yote.
 
Nilidhani ni utani ila naanza kuamini haya maneno baada ya kuona comment zaidi ya moja inazungumza kitu hiki
Yani siku wamegoma tu maana arusha shule zote zilipeleka wanafunzi kesho wake wakapelekewa bili ya mabilion. Hao donor waende nchi yenye watu serious na akili
 
WEE unaongea nini rafiki tafuta clip za yule mfanya biashara wa kariakoo ambaye mzigo wake ulikamatwa kimara ukiwa na document zote na kilichofuata nini, pamoja na jamaa kuwa smart na kukusanya ushahidi wa wazi kuwa alibambikwa deni, na akarekodi mpaka mazunguzo ya mtu aliyefanya huo mpango. Matokeo duka likafungwa na likiwa limefungwa watu wakalamba mzigo wote. Kesi imeenda mpaka kwa Rais na akatoa maagizo alipwe lakini mpaka leo ni dana dana, labda TRA ya Kenya si Tanzania japo Kenya hamna TRA. Ikiwa walikuwa wanadaiwa mbona baada ya ubalozi wa Austraria kumpigia simu Rais, ameamulu shule ifunguliwe na accaount ziachiliwe
Oh kwa hiyo saizi account wameziachia? Wanafanya mambo ya aibu sana mpaka ubalozi umcheki mkulu aisee si kujidhalilisha huku na kama kisa ndo hicho cha kutopeleka watoto kwenye kampeni
 
Back
Top Bottom