Arusha: Wazazi Shule ya St. Jude waandamana kwa RC, TRA yakausha akaunti ya shule

Hii hatari hawa jamaa waliojipa hati miliki ya nchi kwamba mda wowote wanaweza kukufanya lolote na usiwe na pa kwenda.
Ilaaniwe siku kilipozaliwa kiasisi cha matatizo yote haya.
 
Kama story ndivyo ilivyo , basi kuna shida
Kuna total private wanalipa ada, na kuna total 100% wanaofadhiliwa; kuna wanaosaidika 100%!

Ninaamini dispute ipo kwenye kuthibitisha wanaosaidiwa vs wanaolipa; inaitaji busara na uvumilivu kila upande
 
Mimi sijacomment sababu sijui chochote kuhusu taratibu za hiyo taasisi kupata wanafunzi walio maskini, sijui kama hizo pesa zilizofungiwa ni zile za funder kweli au nyingine
Itakuwa ni matokeo ya kufanyiwa examination of books of Audited FS au Tax Audit then TRA wakagundua kuna kodi ilitakiwa kulipwa Ila haikulipwa. Ss wakawapa findings then notice of discussion then assesment ya malipo ila wao hawakurespond ndo TRA wakachukua hatua kwanza kublock acc usiporespond wanachukua hatua ya kuielekeza Bank ifanye hayo malipo.
 
Safi sana TRA yetu, nendeni wafwatilieni pia na wengine kama Braeburn & Co.
Mitano tena hao watoto zaidi ya 1.800 utawapeleka shule za mchepuo wa kingereza uwalipie ada,usafiri,chakula na malazi?
Watakaoumia ni watoto wa wanyonge.Busara itumike.
 
Mitano tena hao watoto zaidi ya 1.800 utawapeleka shule za mchepuo wa kingereza uwalipie ada,usafiri,chakula na malazi?
Watakaoumia ni watoto wa wanyonge.Busara itumike.

Busara ndo hiyo imeshatumika, TRA yetu inataka walipe kodi, na ni sawa 100 %, hawataki wafunge waende kwanza hatuwahitaji, ...
 
Mkuu umechanganya habari mgogoro unaosemea wewe ni wa Shule ya Msingi Naura.
 
Busara ndo hiyo imeshatumika, TRA yetu inataka walipe kodi, na ni sawa 100 %, hawataki wafunge waende kwanza hatuwahitaji, ...
Aikambe
Hao watoto utawajengea shule lini? Toa mbadala
 
Huu ni uduwanzi, watu wafadhili elimu bure na kodi walipe kwa biashara gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…