Arusha: Wazazi Shule ya St. Jude waandamana kwa RC, TRA yakausha akaunti ya shule

Huyu c ndo alikataa kuvalisha uniform za chama wafanyakazi wake kwenda kujaza mikutano wakati wa campaign sasa anaendesha shule kwenye nchi ya nani.
 
Hii shule ni Kama NGO inachukua watoto maskini sanawanasomeshwa happy mpaka form six na wengine mpaka chuo. Kama kungekua na shida Serikali ingekaa nao Kwanza kujua tatizo liko wapi.tunakoelekea Hali itakua tete sana.
kwel hii shule inasaidia sanaa, kuna wadau leo tupo nao makazini walilelewa kwenye hiyo shule!
 
Elimu inatolewa bila malipo nchi nzima iweje Leo mnajidai 'superior' kuliko shule za kata? Huyi shule ilipe Kodi stahiki
 
Elimu inatolewa bila malipo nchi nzima iweje Leo mnajidai 'superior' kuliko shule za kata? Huyi shule ilipe Kodi stahiki
Mkuu wewe tulia shule ya kata mpeleke mwanao na nduguzo.
 
Acheni ujinga TEC na St Jude wapi na wapi? hii sio shule ya kanisa ni makosa kuandika bila kuwa na fact
 
Narudia kusema shule hii haina mahusiano na kabisa katoliki ,tafuta fact au kuona st Jude unafikiri ni shule ya kanisa nenda kwenye website kaangalie "stjudeschools-moshono "
 
Kuna wanaijilipia, I know for a fact
Mwanzoni walivyoanzisha shule ndivyo ilivyokuwa lkn baadae walikuja kuondoa huo utaratibu. Hivyo kwa sasa wote waliopo pale wamefadhiliwa na raia wa Australia.
 
Elimu inatolewa bila malipo nchi nzima iweje Leo mnajidai 'superior' kuliko shule za kata? Huyi shule ilipe Kodi stahiki
Ukishakua utafahamu kwanini mama yako alikuwa akikunyoa kwa mkasi huku vinyozi wakiwa wametapakaa mtaani kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…