mtzedi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 5,983
- 6,171
Hapana St Jude ipo Moshono na Usa River.Hivi hyo st jude ndo ile pale njiani ukiwa unatokea njia ya babati nzurii mazingira yake mazuri au nimekosea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana St Jude ipo Moshono na Usa River.Hivi hyo st jude ndo ile pale njiani ukiwa unatokea njia ya babati nzurii mazingira yake mazuri au nimekosea
kwel hii shule inasaidia sanaa, kuna wadau leo tupo nao makazini walilelewa kwenye hiyo shule!Hii shule ni Kama NGO inachukua watoto maskini sanawanasomeshwa happy mpaka form six na wengine mpaka chuo. Kama kungekua na shida Serikali ingekaa nao Kwanza kujua tatizo liko wapi.tunakoelekea Hali itakua tete sana.
Hakuna Private pale Mkuu.
Elimu inatolewa bila malipo nchi nzima iweje Leo mnajidai 'superior' kuliko shule za kata? Huyi shule ilipe Kodi stahikiHiyo shule ni ya msaada kwa wanafunzi wenye vipaji na wazazi wao hawana uwezo wa kuwasomesha kwenye shule za vipaji maalumu.
Wanafunzi hao hulipa zero school fees.
Body ya shule hiyo iliyoanzishwa. na mama raia wa Australia Gemma na mumewe Bob Rich ndio hutafuta ufadhili huko nje na pesa hizo hulipia gharama kama umeme, chakula, mishahara, vitabu vyote, madaftri, vifaa vya maabara ya kufundishia, usafiri na kadhalika.
Sasa kodi ipi inayopaswa kulipiwa?
Mtu anakusaidia kazi ya kufuta ujinga kwako for free then unamdai kodi?
Hata kama ni mimba inayotaka kodi ila hali hii imekuwa too much.
Kodi kodi kodi mpaka aibu.
Keshokutwa usishangae ukiona wamwfungasha na kuhamia nchi ingine ambayo iko willing and able kusaidiwa bila masharti kama hayo.
Kisa cha yote haya ni siku ya kampeni jijini Arusha, shule zote ziliambiwa zitoe watoto wavalishwe mavazi ya CCM na kwenda kwenye mkutano aliokuwa anagutubia JPM hiyo shule pekee ikakataa kwa kigezo kuwa wanafunzi walikuwa wanaendelea na masomo.
Kauli iliyofuata ni kuwa tutawaonesha!
Na kweli wamewaonesha
k*** wwMimi siyo Wizara ya Elimu, ...
Mkuu wewe tulia shule ya kata mpeleke mwanao na nduguzo.Elimu inatolewa bila malipo nchi nzima iweje Leo mnajidai 'superior' kuliko shule za kata? Huyi shule ilipe Kodi stahiki
Arusha Mnataka Mambo mazuri 'English Medium Schools' huku hela hamna. Eti bure! Mtabanwa Kama kengeMkuu wewe tulia shule ya kata mpeleke mwanao na nduguzo.
Acheni ujinga TEC na St Jude wapi na wapi? hii sio shule ya kanisa ni makosa kuandika bila kuwa na factacaha tunyoshwe tu maana TEC walionesha kuiamini tume ya uchaguzi pamoja na irregulaties Fr. Kitima alisema walipe kodi sasa TEC kila mtu ataguswa utawala wa sheria ni muhimu sana unachotaje hela kutoka kwenye account watoto wanasoma bure si waliomba msamaha siku ya kusimikwa Amani kwani hawajapewa msamaha tu?
Narudia kusema shule hii haina mahusiano na kabisa katoliki ,tafuta fact au kuona st Jude unafikiri ni shule ya kanisa nenda kwenye website kaangalie "stjudeschools-moshono "hii shule mgogoro na TRA ulianza wakat ule magufuli amekuja arusha kuhudhuria kusimikwa kwa Askofu wa Katoliki..askofu aliomba shule ifutiwe madeni..magufuli akasema nimeambiwa kuna kesi kwa hiyo sowwz ingilia mahakama..magakama ikaamua pesa ilipwe..nasikia shule ikalipa..bado wakaendelea kudaiwa mikodi kibao..had kufunga akaunt na mwisho wamezihamisha..watoto wote wanasoma bure asilimia 100..serikali ikae na uongoz wa shule waone namna ya kuwasaidia watoto..
Mwanzoni walivyoanzisha shule ndivyo ilivyokuwa lkn baadae walikuja kuondoa huo utaratibu. Hivyo kwa sasa wote waliopo pale wamefadhiliwa na raia wa Australia.Kuna wanaijilipia, I know for a fact
Si uje tulale wote tujifunike kwenye blanket? Nilipo hapa - 5 pupwe linapuliza kichizUsinene kwa hasira
Niko na mzee mwenzangu hapa anatosha👍Si uje tulale wote tujifunike kwenye blanket? Nilipo hapa - 5 pupwe linapuliza kichiz
I hate himNiko na mzee mwenzangu hapa anatosha👍
Jamani, why? Amekukosea lolote?I hate him
Ukishakua utafahamu kwanini mama yako alikuwa akikunyoa kwa mkasi huku vinyozi wakiwa wametapakaa mtaani kwenu.Elimu inatolewa bila malipo nchi nzima iweje Leo mnajidai 'superior' kuliko shule za kata? Huyi shule ilipe Kodi stahiki
Yani kama namuona vile jiweHii serikali hii, Mungu anaiona
Muambie nimeamua kumchukia tu.Jamani, why? Amekukosea lolote?
DahMuambie nimeamua kumchukia tu.